Salaam zangu maalum kutoka moyoni mwangu

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kutupa siku hi ya leo, tufurahi na tuishangilie.
pili kwa ndugu, jamaa na marafiki zangu woote... heri ya PASAKA
3. kwa mpendwa wangu SMILE... Heri kwako
4. Mashemeji zangu, SL, HUSN, CANTA et al
5. dada zangu wakiongozwa na dada mkubwa KONGOSHO, KIPIP, MWALI, AD, KING'AST, LIZ et al
6. kaka zangu, EB52, BAGAH, REJAO, YOUNG MASTER, ROCKY, JUDGEMENT, SI, NN, PJ, ET AL

PAMOJA NA WANA JF WOOTE, NAWAPENDA NA NINAWATAKIA HERI YA PASAKA.

MBARIKIWE SANA
 
Mbona wajomba zako hujatutaja?
 
We smiling wewe,alokwambia Kongosho ni 'dada' ni nani? Subiri akushukie!
 
usishangae mkuu... ndio dada yangu huyo... sema tu kaka yake niko kuuul sana

haya.......basi malizi salamu....bado za mashangazi, mama wadogo, mama wakubwa....bibi... Babu.... Baba.... Baba wadogo...... Baba wakubwa...... Mabinamu....... Wajukuu...... Vilembwe....... Majirani.........
 
kwa BD... shemeji wa mkwe wa babu mzaa baba mkubwa kwa mama mdogo wa jirani wa kaka yake mpwa wa binamu kwa mjomba yule kilembwe cha babu yake babu mzaa baba wa bibi mzaa shangazi... heri ya pasaka kwako
 
kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kutupa siku hi ya leo, tufurahi na tuishangilie.
pili kwa ndugu, jamaa na marafiki zangu woote... heri ya PASAKA
3. kwa mpendwa wangu SMILE... Heri kwako
4. Mashemeji zangu, SL, HUSN, CANTA et al
5. dada zangu wakiongozwa na dada mkubwa KONGOSHO, KIPIP, MWALI, AD, KING'AST, LIZ et al
6. kaka zangu, EB52, BAGAH, REJAO, YOUNG MASTER, ROCKY, JUDGEMENT, SI, NN, PJ, ET AL

PAMOJA NA WANA JF WOOTE, NAWAPENDA NA NINAWATAKIA HERI YA PASAKA.

MBARIKIWE SANA
Nadhani mie niko hapo kwa red. Ndo maana pasaka yangu ilienda vizuri. Nashukuru kwa Salamu zako.
 
S.S
Asanta kwa kumbuko lako, mimi na tunae'share nae shuka ndiyo twatoka ambako waTZ wengi wanapaita mbuga za wanyama, lakini wasaidizi wa Saidi Mwema (baadhi) walipageuza machimbo ya madini !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom