Salaam zangu maalum kutoka moyoni mwangu

...mbona hukunibip kua nina salam zangu huku bana?...asante sana SS...kakaako jana sikunywa sana nimepelekwa mahali eti bia tsh 4000!!!Boo!
 
We dogo salamu zako hazijakamilika....ulipaswa kusema kwa kaka zangu Eb52 na mkewe Amyner...kwa kaka Rejao. Na mkewe Canta...
Otherwise tumezipokea kwa mikono miwili....
Asante
 
S.S
Asanta kwa kumbuko lako, mimi na tunae'share nae shuka ndiyo twatoka ambako waTZ wengi wanapaita mbuga za wanyama, lakini wasaidizi wa Saidi Mwema (baadhi) walipageuza machimbo ya madini !

ah ah ah pole... kaa mkao wa kazi, sikukuu zimeisha
 
...mbona hukunibip kua nina salam zangu huku bana?...asante sana SS...kakaako jana sikunywa sana nimepelekwa mahali eti bia tsh 4000!!!Boo!

ah aha ah ah... umenikumbusha enzi zile tukiwa wanafunzi kuna mtu aliwahi kumtoa out gf wake akampeleka sehemu siku hizi inaitwa coffee lodge iko burka AR aliishia kunywa soda tu!
 
We dogo salamu zako hazijakamilika....ulipaswa kusema kwa kaka zangu Eb52 na mkewe Amyner...kwa kaka Rejao. Na mkewe Canta...
Otherwise tumezipokea kwa mikono miwili....
Asante

ah ah ah... woote wamewakilishwa... kuna wengine wana status mbilimbili! mara dada shemeji mara kaka shemeji! sasa ningesema CAnta na Re-ja-o, kuna mtu angenijia na ngumi hapa!
 
ah ah ah... woote wamewakilishwa... kuna wengine wana status mbilimbili! mara dada shemeji mara kaka shemeji! sasa ningesema CAnta na Re-ja-o, kuna mtu angenijia na ngumi hapa!
Hahahaaaaa sawa bwana mdogo....Ila hata Smile hujamtendea haki...yan unamwita mpendwa? Lol atakumwaga sasa hivi uanze kulia na kuomba msamaha...
 
Hahahaaaaa sawa bwana mdogo....Ila hata Smile hujamtendea haki...yan unamwita mpendwa? Lol atakumwaga sasa hivi uanze kulia na kuomba msamaha...

huyo mpendwa ndio tunavyoitana kwa sasa, yaani 'DADA MPENDWA KATIKA BWANA' mpaka tutakapohalalishwa.... raha!
 
huyo mpendwa ndio tunavyoitana kwa sasa, yaani 'DADA MPENDWA KATIKA BWANA' mpaka tutakapohalalishwa.... raha!
Ok sawa....ngoja ile kwako utakaposikia Bagah anamwita Smile Sweetie......
Usiniambie lolote ile kwako mazima....
 
Hahahaaaaa aiseee nimecheka sana SS unajua hadi nimejishangaa na nimetamani wangekuja haraka wajibu hili bomu maana ni kubwa sana kwa wote lol

ukiwaona wanatembea tembea huko mitaani wajulishe!
 
Smiling Saint, namimi nimerudi mdugu yangu..au salamu za pasaka hazinihusu!??
 
Smiling Saint, namimi nimerudi mdugu yangu..au salamu za pasaka hazinihusu!??

mkuu! wewe tena ninakukumbuka ulinikaribisha vizuri sana kule jokes, heri ya pasaka kwako pia...
 
hahaha..nimerudi mkuu na nimemtupia Hus lake moja ndo nikaingia officialy!

kaka unamfahamu Judgement? angalia usije kuwa unachokoza ugomvi wa mawe ilhali nyumba yako ya vioo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom