zumbemkulu
Member
- Dec 6, 2013
- 52
- 5
Sikukuu ya Noeli kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu yesu kristo inatukumbusha mambo matatu, Upendo, msamaha na upatanishi anaofanya bwana yesu kati ya mungu na binadamu. Nasi hii inatukumbusha kuwapenda na kuwahudumia wale wote walio kati ya mazingira magumu , kutoa misamaha kwa hali za kukoseana katika familia zetu. Napenda niwatakie watanzania wote manufaa mema ya sikukuu ya Noel