Hatutaki unafiki wauaji na wabaka democrasia hapana hatujasahau watu kama Mbowe wamelia baadhi ya sikukuu wakiwa gerezani kuna wengine ni vilema kwa sababu ya uhuni tu, Watakieni nyie vibaraka wao. mimi sipendagi unafiki
kuna sababu gani ya wanachadema kuwashambulia askari kwa mawe ?
Kuna sababu gani ya raia kwenda jela kuwatoa watu kwa nguvu? Mbaka demokrasia ni mbowe ataki nafasi ya mwenyekiti agombee mwengine.
Unapingana na katiba ya chadema inayo imiza kutanguliza utaifa mbele. Vitu vya kuweka utaifa mbele ni kama sikukuu, miradi mikubwa kama sgr, jnhpp, flag carrier n.k
Awali ya yote tumshukuru Allah kwa kutuwezesha kuukamilisha mfungo huu salama maana wapo tulioanza nao kufunga lakini sasa hivi wameshatangulia mbele za haki na wengine hawakudikiri kabisa kuuona mfungo huu.
Pili niwapongeze wale wote waliojaaliwa kuukamilisha mfungo huu kikamilifu bila deni Allah ajaalie saumu zetu ziwe makubuli.
Mwisho niwakumbushe wale ambao hawajajaaliwa kufunga swaumu zote kutokana na sababu mbali mbali za kisheria kwamba wasisahau kuzilipa swaumu walizoacha kufunga kabla ya kufika Ramadhani ijayo
Pia kwa wale wenye uwezo wasisahau kutoa zakaatul fitri kwa watu wasiojiweza
Nachukua nafasi hii Kuwatakia Waislam wote nchini na duniani Eid njema عيد المباركا. لعدين من الفائزين
تقبل الله منا ومنكم الصالها الاعمال
كل عام وانتم بخير.
Salamu zangu za Eid ziende kwa:
1. Mama yangu,
2. Mke wangu,
3. Wanangu,
4. Ndugu na jamaa zangu,
5. Marafiki zangu,
6. Kwa watanzania wote hususan minhum, Rais wa Tanzania, Dkt.JPJ. Magufuli.