Salaam kwako ndugu Humphrey Polepole!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Humphrey Pole pole wewe ni kijana msomi mwenyewe shahada ya kwanza ya maendeleo ya jamii(Sijui kama umemaliza Uzamili au laa), sijakufahamu leo wala jana ispokua ni muda kidogo kutokana kua mjengaji mzuri sana wa hoja, unaweza kupambanua jambo hata mlemavu anayetumia alama za vidole kuwasiliana anaweza kukuelewa vema pasina shaka!

Nimekufahamu tangu ukiwa kama kiongozi wangu nikiwa NGO moja jijini DSM nikiwa kiongozi pia, nilikufanya kama role modal wangu kwa masuala mengi sana hasa yahusuyo jamiii zetu za kitanzania, kila nilipohitaji msaada hukua mchoyo kuninyima maarifa yako. Nilifurahia sana michango yako sana pindi tunapokua na warsha au semina mahali fulani. Nilikua nasema moyoni kweli "huyu jamaa mbeleni aendapo naweza kumtabiria makubwa sana"

Lilipoanza vuguvugu la kuzunguka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi nawe ulikua miongoni mwa wajumbe hao kupitia uteuzi wa Mh Rais wa wakati huo Mh Kikwete ukiwakilisha taasisi zetu za asasi zisizo za kiraia! Nilikua nimeanza kuwaza kua nilichokua nikimtabiria kaka yangu huyu sasa kinamwendea, ni kweli baada ya kumaliza kukusanya maoni ya wananchi mlimkabidhi Mh Kikwete maoni hayo chini ya Mwenyekiti Jaji mustaafu Mzee Warioba. Kilichofanya kuhusu maoni hayo kilifanyika na dunia inakifhamu sitaki kulielezea hilo kwakua haikua lengo langu.

Ulijitahidi sana kupingana na kitendo kilichofanywa na wabunge wa CCM kuchakachua maomi ya wananchi chini ya Samweli Sitta badala yake wakaweka yakwao wayatakayo, kaka ulionesha kuumizwa na kitendo hicho na kuamua kuanza uanaharakati na kwenda kwenye media mbali mbali na kua mchambuzi kinaga ubaga ukiungana na mzee Warioba pamoja na mwanasheria Awadhi, Kwakweli wengine tulifurahishwa sana na ulipoamua kuubeba Utanzania halisi kuusema ukweli wa moyo wako kupingana kilichofanywa na mwanachama wenzeko wa CCM. Hii ilitufanya mpaka kujiuliza hivi CCM ya kina Pole pole na Mzee Warioba ni Ipi?

Humphrey Pole pole uilikerwa na tabia ya uchakachuaji wa maoni ya wananchi ambapo kuna vitu mhimu waliona viondoke katika katiba iliyokuwepo ili tupate katiba mpya, vitu hivyo ilikua ni pamoja na mawaziri kutokua wabunge, kufuta kabisa nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa, mtu anayegombea nafasi kama ya ubunge angalau afikie kiwango cha elimu ya kidacho cha nne na mengine mengi tu mazuri, Pole pole wewe na Mzee Warioba mlisema kwa vinywa vyenu kwamba utitri wa baadhi ya vyeo kama ukuu wa wilaya na mikoa ni kutia hasara taifa, ulipinga sana tena kwa kuzidharau nafasi hizo ukidai kua hazina tija.

Kaka yangu Humphrey Pole pole kwa sasa wewe ni mkuu wa wilaya ya Ubongo, Cheo ambacho ulionesha kukidharau na kukutia kichefuchefu kutokana na kukerwa na kutokua na tija kwa taifa.Mbona hicho cheo kwa sasa unatembea nacho mkononi mwako? Mimi ambaye nilikufanya kama role modal wangu nijifunze nini kwako? Nini msimamo wako kuhusu maoni ya wananchi uliyokua unasema yamechakachuliwa na kudharauliwa? Je, sasa ni fursa kwako kumshauri rais aliyekuteua kuachana na katiba pendekezwa kurudia maoni ya tume ya Warioba ingawa uko katika cheo ambacho ulisema kwa kinywa chako ni dhambi?

USHAURI WANGU KWAKO KAKA POLEPOLE.

Itakukua ni busara na ni jambo njema sana kujiuzulu nafasi uliyopewa ya ukuu wa wilaya kwakua uliona haina tija na ni mzigo wa taifa, ni bora kama kijana kua na msimamo usiotetereka maana sasa ukimya wako unachukuliwa na umma kua huko mwanzo ulikua unasumbuliwa na njaa na kupiga kote kelele kulikua ni kutafuta umaarufu tu tofauti na ambavyo ulifamika. Ni busara pia kuwaomba radhi watanzania kwakua mwanzo uliwaambia kua Ukuu wa wilaya ni kama cheo mzigo tena kisichokua na tija kwa taifa.
Humphrey kujiuzulu kwako kutakujengea umaarufu maradufu kuliko sasa ambavyo unaua umaarufu wako kwa sababu ya ukuu wa wilaya tu.

Mwisho nikuambie tu kaka yangu kua hutakua wa kwanza kujiuzulu kwa nafasi hiyo awamu hii kwani alianza Masoud Maswanya huko Mbozi na maisha yake yanaendelea kama kawaida.
 
Ningekuwa mkubwa mkubwa kidogo ningesema jambo, lakini mtu nayetaka kumzungumzia ni juzi tu kakumbushwa kuwa 'ana mamlaka ya kutuweka lock up' pindi akijisikia. Kwa ninavyomjua mke wangu, nikikaa lock up siku mbili nitakuta amefariki kwa huzuni. Mungu na atufadhili kwa uvuli wa mbawa zake
 
leta mada za kimaendeleo na sio kumjadili mtu, great thinkers hatuwezi kukaa tunajadili mtu, tunajadili hoja
Kwanza soma heading uelewe, pili unaweza kumjadili mtu ukajifunza, tatu haya sio majungu ni kama somo na ni salami kwa DC pole pole. Uelewa wako ni mdogo sana huwezi kuelewa kitu, Yaani mmetoka Kumjadili Mh Lwakatare sasa hivi tena kwa shari, je, kumjadili Lwakatare ni maendeleo? Jipime.
 
Ningekuwa mkubwa mkubwa kidogo ningesema jambo, lakini mtu nayetaka kumzungumzia ni juzi tu kakumbushwa kuwa 'ana mamlaka ya kutuweka lock up' pindi akijisikia. Kwa ninavyomjua mke wangu, nikikaa lock up siku mbili nitakuta amefariki kwa huzuni. Mungu na atufadhili kwa uvuli wa mbawa zake
Mungu ni mkubwa na huwa kamwe hashindwi wala kudanganywa, ipo siku mkuu tutashinda
 
Humphrey Pole pole wewe ni kijana msomi mwenyewe shahada ya kwanza ya maendeleo ya jamii(Sijui kama umemaliza Uzamili au laa), sijakufahamu leo wala jana ispokua ni muda kidogo kutokana kua mjengaji mzuri sana wa hoja, unaweza kupambanua jambo hata mlemavu anayetumia alama za vidole kuwasiliana anaweza kukuelewa vema pasina shaka!

Nimekufahamu tangu ukiwa kama kiongozi wangu nikiwa NGO moja jijini DSM nikiwa kiongozi pia, nilikufanya kama role modal wangu kwa masuala mengi sana hasa yahusuyo jamiii zetu za kitanzania, kila nilipohitaji msaada hukua mchoyo kuninyima maarifa yako. Nilifurahia sana michango yako sana pindi tunapokua na warsha au semina mahali fulani. Nilikua nasema moyoni kweli "huyu jamaa mbeleni aendapo naweza kumtabiria makubwa sana"

Lilipoanza vuguvugu la kuzunguka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi nawe ulikua miongoni mwa wajumbe hao kupitia uteuzi wa Mh Rais wa wakati huo Mh Kikwete ukiwakilisha taasisi zetu za asasi zisizo za kiraia! Nilikua nimeanza kuwaza kua nilichokua nikimtabiria kaka yangu huyu sasa kinamwendea, ni kweli baada ya kumaliza kukusanya maoni ya wananchi mlimkabidhi Mh Kikwete maoni hayo chini ya Mwenyekiti Jaji mustaafu Mzee Warioba. Kilichofanya kuhusu maoni hayo kilifanyika na dunia inakifhamu sitaki kulielezea hilo kwakua haikua lengo langu.

Ulijitahidi sana kupingana na kitendo kilichofanywa na wabunge wa CCM kuchakachua maomi ya wananchi chini ya Samweli Sitta badala yake wakaweka yakwao wayatakayo, kaka ulionesha kuumizwa na kitendo hicho na kuamua kuanza uanaharakati na kwenda kwenye media mbali mbali na kua mchambuzi kinaga ubaga ukiungana na mzee Warioba pamoja na mwanasheria Awadhi, Kwakweli wengine tulifurahishwa sana na ulipoamua kuubeba Utanzania halisi kuusema ukweli wa moyo wako kupingana kilichofanywa na mwanachama wenzeko wa CCM. Hii ilitufanya mpaka kujiuliza hivi CCM ya kina Pole pole na Mzee Warioba ni Ipi?

Humphrey Pole pole uilikerwa na tabia ya uchakachuaji wa maoni ya wananchi ambapo kuna vitu mhimu waliona viondoke katika katiba iliyokuwepo ili tupate katiba mpya, vitu hivyo ilikua ni pamoja na mawaziri kutokua wabunge, kufuta kabisa nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa, mtu anayegombea nafasi kama ya ubunge angalau afikie kiwango cha elimu ya kidacho cha nne na mengine mengi tu mazuri, Pole pole wewe na Mzee Warioba mlisema kwa vinywa vyenu kwamba utitri wa baadhi ya vyeo kama ukuu wa wilaya na mikoa ni kutia hasara taifa, ulipinga sana tena kwa kuzidharau nafasi hizo ukidai kua hazina tija.

Kaka yangu Humphrey Pole pole kwa sasa wewe ni mkuu wa wilaya ya Ubongo, Cheo ambacho ulionesha kukidharau na kukutia kichefuchefu kutokana na kukerwa na kutokua na tija kwa taifa.Mbona hicho cheo kwa sasa unatembea nacho mkononi mwako? Mimi ambaye nilikufanya kama role modal wangu nijifunze nini kwako? Nini msimamo wako kuhusu maoni ya wananchi uliyokua unasema yamechakachuliwa na kudharauliwa? Je, sasa ni fursa kwako kumshauri rais aliyekuteua kuachana na katiba pendekezwa kurudia maoni ya tume ya Warioba ingawa uko katika cheo ambacho ulisema kwa kinywa chako ni dhambi?

USHAURI WANGU KWAKO KAKA POLEPOLE.

Itakukua ni busara na ni jambo njema sana kujiuzulu nafasi uliyopewa ya ukuu wa wilaya kwakua uliona haina tija na ni mzigo wa taifa, ni bora kama kijana kua na msimamo usiotetereka maana sasa ukimya wako unachukuliwa na umma kua huko mwanzo ulikua unasumbuliwa na njaa na kupiga kote kelele kulikua ni kutafuta umaarufu tu tofauti na ambavyo ulifamika. Ni busara pia kuwaomba radhi watanzania kwakua mwanzo uliwaambia kua Ukuu wa wilaya ni kama cheo mzigo tena kisichokua na tija kwa taifa.
Humphrey kujiuzulu kwako kutakujengea umaarufu maradufu kuliko sasa ambavyo unaua umaarufu wako kwa sababu ya ukuu wa wilaya tu.

Mwisho nikuambie tu kaka yangu kua hutakua wa kwanza kujiuzulu kwa nafasi hiyo awamu hii kwani alianza Masoud Maswanya huko Mbozi na maisha yake yanaendelea kama kawaida.
Kuna msemo wangu mmja unasema hivi....IF YOU WANT TO BEAT THEM JUST JOIN THEM......hapa namaana ya kwamba POLE POLE ataweza kutimiza kile alichoikisimamia kabla kwa kujiunga ndani ya CCM...maana humo ndimo anaweza kulisemea hilo na akajenga hoja Dr MAGUFULI akaelewa....Hii aina tofauti na ALICHOKIFANYA EDO kwa chadema walimchafua sana akaona njia rahisi ya kuwafunga mdomo ni kujiunga nao....NA HILO KALIFANIKISHA KWA ASILIMIA ZOTE leo hii wanamtukuza kama ndiye MWENYE CHAMA....
 
Ni kama anajibu hoja mwenyewe : "THIS IS A MATTER OF PRINCIPLES, MIMI KUTEULIWA DC HAKUJABADILI KATIIIBA, HATA KIDOGO NAKWAMBIA NA HAPA NAOMBA WATANZANIA WANIELEWE. MIIIIMI NILIWASILISHA KATIBA YENYE MAONI YAO AMBAYO KWAAYO NILIONA YANAFAA NA NIKAZUNGUKA KUYATETEA. LAKINI MIIIMI MAONI YANGU BINAFSI NI KUWA UKUU WA WILAYA HAUNA SHIDA HATA KIDOGO. NA NA NANDIO MAANA NIMEUKUBALI.
 
Humphrey Pole pole wewe ni kijana msomi mwenyewe shahada ya kwanza ya maendeleo ya jamii(Sijui kama umemaliza Uzamili au laa), sijakufahamu leo wala jana ispokua ni muda kidogo kutokana kua mjengaji mzuri sana wa hoja, unaweza kupambanua jambo hata mlemavu anayetumia alama za vidole kuwasiliana anaweza kukuelewa vema pasina shaka!

Nimekufahamu tangu ukiwa kama kiongozi wangu nikiwa NGO moja jijini DSM nikiwa kiongozi pia, nilikufanya kama role modal wangu kwa masuala mengi sana hasa yahusuyo jamiii zetu za kitanzania, kila nilipohitaji msaada hukua mchoyo kuninyima maarifa yako. Nilifurahia sana michango yako sana pindi tunapokua na warsha au semina mahali fulani. Nilikua nasema moyoni kweli "huyu jamaa mbeleni aendapo naweza kumtabiria makubwa sana"

Lilipoanza vuguvugu la kuzunguka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi nawe ulikua miongoni mwa wajumbe hao kupitia uteuzi wa Mh Rais wa wakati huo Mh Kikwete ukiwakilisha taasisi zetu za asasi zisizo za kiraia! Nilikua nimeanza kuwaza kua nilichokua nikimtabiria kaka yangu huyu sasa kinamwendea, ni kweli baada ya kumaliza kukusanya maoni ya wananchi mlimkabidhi Mh Kikwete maoni hayo chini ya Mwenyekiti Jaji mustaafu Mzee Warioba. Kilichofanya kuhusu maoni hayo kilifanyika na dunia inakifhamu sitaki kulielezea hilo kwakua haikua lengo langu.

Ulijitahidi sana kupingana na kitendo kilichofanywa na wabunge wa CCM kuchakachua maomi ya wananchi chini ya Samweli Sitta badala yake wakaweka yakwao wayatakayo, kaka ulionesha kuumizwa na kitendo hicho na kuamua kuanza uanaharakati na kwenda kwenye media mbali mbali na kua mchambuzi kinaga ubaga ukiungana na mzee Warioba pamoja na mwanasheria Awadhi, Kwakweli wengine tulifurahishwa sana na ulipoamua kuubeba Utanzania halisi kuusema ukweli wa moyo wako kupingana kilichofanywa na mwanachama wenzeko wa CCM. Hii ilitufanya mpaka kujiuliza hivi CCM ya kina Pole pole na Mzee Warioba ni Ipi?

Humphrey Pole pole uilikerwa na tabia ya uchakachuaji wa maoni ya wananchi ambapo kuna vitu mhimu waliona viondoke katika katiba iliyokuwepo ili tupate katiba mpya, vitu hivyo ilikua ni pamoja na mawaziri kutokua wabunge, kufuta kabisa nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa, mtu anayegombea nafasi kama ya ubunge angalau afikie kiwango cha elimu ya kidacho cha nne na mengine mengi tu mazuri, Pole pole wewe na Mzee Warioba mlisema kwa vinywa vyenu kwamba utitri wa baadhi ya vyeo kama ukuu wa wilaya na mikoa ni kutia hasara taifa, ulipinga sana tena kwa kuzidharau nafasi hizo ukidai kua hazina tija.

Kaka yangu Humphrey Pole pole kwa sasa wewe ni mkuu wa wilaya ya Ubongo, Cheo ambacho ulionesha kukidharau na kukutia kichefuchefu kutokana na kukerwa na kutokua na tija kwa taifa.Mbona hicho cheo kwa sasa unatembea nacho mkononi mwako? Mimi ambaye nilikufanya kama role modal wangu nijifunze nini kwako? Nini msimamo wako kuhusu maoni ya wananchi uliyokua unasema yamechakachuliwa na kudharauliwa? Je, sasa ni fursa kwako kumshauri rais aliyekuteua kuachana na katiba pendekezwa kurudia maoni ya tume ya Warioba ingawa uko katika cheo ambacho ulisema kwa kinywa chako ni dhambi?

USHAURI WANGU KWAKO KAKA POLEPOLE.

Itakukua ni busara na ni jambo njema sana kujiuzulu nafasi uliyopewa ya ukuu wa wilaya kwakua uliona haina tija na ni mzigo wa taifa, ni bora kama kijana kua na msimamo usiotetereka maana sasa ukimya wako unachukuliwa na umma kua huko mwanzo ulikua unasumbuliwa na njaa na kupiga kote kelele kulikua ni kutafuta umaarufu tu tofauti na ambavyo ulifamika. Ni busara pia kuwaomba radhi watanzania kwakua mwanzo uliwaambia kua Ukuu wa wilaya ni kama cheo mzigo tena kisichokua na tija kwa taifa.
Humphrey kujiuzulu kwako kutakujengea umaarufu maradufu kuliko sasa ambavyo unaua umaarufu wako kwa sababu ya ukuu wa wilaya tu.

Mwisho nikuambie tu kaka yangu kua hutakua wa kwanza kujiuzulu kwa nafasi hiyo awamu hii kwani alianza Masoud Maswanya huko Mbozi na maisha yake yanaendelea kama kawaida.

Maandishi meeengi lkn hakuna cha maana chochote ulichoandika ungeweza hata kuandika aya moja tu kwani unarudia rudia yale yale tu!
 
Back
Top Bottom