Salaam kwa Mh Kikwete

Salaam kwa Mh Kikwete

KWELI INA SAIDIA SANA TUNAPOJADILIANA KAMA HIVI. NA MAENDELEO HUPATIKANA.
KWANZA TUELEWE KUWA SISI NDIO TULIOMCHAGUA AJE MADARAKANI.
PILI HAYA MAJANGA HAYAWEZI KUISHA KATIKA KIPINDI CHAKE CHA URAIS, ANACHOWEZA KUFANYA NI KUWEKA MSINGI (FOUNDATION) YA UFUMBUZI WA MATATIZO. KWA MFANO KAMLETA KOCHA WA MPIRA LAKINI MATUNDA YAKE HAYAJAPATIKANA MPAKA HIVI SASA LAKINI HUKO MBELE NURU INAONEKANA KWA MBALI KWAMBA TANZANIA tunaWEZA. KUHUSU BARABARA ZA JUU, HII ITACHUKUA MDA BCOZ SISI WANANCHI WENYEWE TUNA MATATIZO TUMEJENGA SEHEMU AMBAZO SIZO ZA KUJENGA (MIFANO IPO) KWA HIYO INAKUWA VIGUMU KIMIUNDOMBINU LAKINI tunaFANIKISHA.
 
JK hana lolote, ni rais anayependa sifa, mtaona hii miaka mitano.
Barabara za juu wanahamisha matatizo, ukiweka flyover ubungo unahamishia foleni Shekilango, kwa flow ya magari kwa sasa inakuwabalanced na jam ya ubungo. Labda aweke barabara za juu kote.

JK anajenga uwanja wa ndende wa kimataifa bagamoyo, anaacha KIA inakufa na Mwanza, hii akili au sifa za kijinga.
JK anataka kujenga bandari bagamoyo badala ya mtwara, hii akili matope? Wakati target yetu ingekuwa nchi za rwanda, burundi na Congo, hivyo kusini kungefaa sana.

Mawazo mgando yanatumaliza watanzania
 
Back
Top Bottom