Salaam kwa Mh. Edward Lowassa na wenzake

Mie sina itikadi ya chama yoyote ila namkubali sana Lowassa hapa issue sio kubadili chama bali kubadili mfumo mzima majuzi report ya CAG imeonyesha jinsi chadema walivyoponda ruzuku ya chama halafu unataka niwe chama fulani?mie naitaji mtu mithili ya Kagame na huyo hapa kwetu ni Lowassa tu

Ile ripoti ya CAG imesema hivyo? Mbona hamuoni aibu kusema uongo usio saidia jambo? Au tafsiri ya ripoti ile imekushinda? Ok tuje huku home, hivi Lowasa waweza kumlinganisha kwa lipi na Kagame? Kwa taarifa yako Kagame hatuhumiwi lolote la kifisadi na wananchi wake. Ila huyu waweza kumtetea upendavyo ukisema ushahidi uko wapi, sawa ila kuna msemo kuwa ukitaka kumjua mtu angalia rafiki zake, nasi tumeshaangalia rafiki za Edo na tabia zao tumezijua kama Rostam, Karamagi nk
 
huna haja ya kuhangaika na lowassa hawezi pitishwa fisadi aongoze nchi HELL NO.
 
Mkuu nakushukuru sana kwa makala yako ambayo,kusema ukweli ukiisoma bila ushabiki,unaishia kuwa na viulizo visivyo na majibu kumhusu mzee wa safari ya matumaini,kumbe ndo maana alichagua kauli mbiu hiyo,ya matumaini,ambayo yaweza kuwa na matokeo yasioyo ya uhakika.Halafu mkuu kwa wale ambao wamekula yamini kulazimisha umma kumsafisha mzee huyu bila kujibu hoja zinazomkabili moja baada ya nyingine,du umewachoma sana usione wanaandika hapo ni kufa kisabuni tu tehetehte Edo bwana kumbe!!!!!!sikujua
 
Mwandishi wa hiyo nondo ni msaidizi wa Mwl Nyerere anaitwa Mzee Kasori tunaishi naye Arusha baada ya kustaafu aliwahi kutishiwa maisha yake akaenda kutoa ripotri polisi.

Mkuu nakushukuru sana kwa makala yako ambayo,kusema ukweli ukiisoma bila ushabiki,unaishia kuwa na viulizo visivyo na majibu kumhusu mzee wa safari ya matumaini,kumbe ndo maana alichagua kauli mbiu hiyo,ya matumaini,ambayo yaweza kuwa na matokeo yasioyo ya uhakika.Halafu mkuu kwa wale ambao wamekula yamini kulazimisha umma kumsafisha mzee huyu bila kujibu hoja zinazomkabili moja baada ya nyingine,du umewachoma sana usione wanaandika hapo ni kufa kisabuni tu tehetehte Edo bwana kumbe!!!!!!sikujua
 
huna jipya maneno meng Ila ukwel unaujua kuwa lowasa ndio anafaa

Watanzania nani katuroga? Lowasa hata marafiki zake tu (Chenge, Karamagi, Rostam Azizi) wanatosha kumtambulisha kuwa yeye ni nani. Wahurumieni watZ wenzenu.
 
Hii kitu ilikuwepo humu kitambo, naona umeiedit ukaileta kivingine, hata hivyo nakibaliana na ww jamaa ni choli sana hatufai kama rais.
 
Tutake radhi wazee wa Arusha Lowassa anawafaa wamasai wa Monduli Arusha kashindwa kumtoa Lema ,Nasari Arumeru alimgaragaza mchana kweupe.

Stop advertising urself as Mzee wa Arusha...ur not even known..!!! I saw you A- town main bus stand in the public toilets, cleaning...!!! with CDM t-shirt written kamanda...!!!

I didn't know exactly what does a word kamanda mean...i thought toilet cleaner...!!!
 
Wewe unaweza kuhoji maoni ya Mwl Nyerere.Kweli nimeamini kupenda kweli upofu.Unataka facts zipi zaidi alizotoa Mwl Nyerere kwenye NEC !.Kwahiyo Mwl Nyerere alikuwa na chuki binafsi na Lowassa Ndossy.

There is no fact at all another blaahhblaaahh...!!!!naona unahangaika kama kuku alie katwa kichwa,anyway nyie mnakomaa na hizi tuhuma za nini ??si mliahdi jina halita pita sasa sisi ccm wengine tulio na card za chama kujumlisha ccm wengine tusio na card,tunasubiri mkate jina tena la lowassa ili 2015 ccm itengeneze historia mpya
 
Kuna mijitu mijinga kazi zao hapa JF ni kuwasafisha mafisadi ambao hawasafishiki.
 
Wewe unaweza kuhoji maoni ya Mwl Nyerere.Kweli nimeamini kupenda kweli upofu.Unataka facts zipi zaidi alizotoa Mwl Nyerere kwenye NEC !.Kwahiyo Mwl Nyerere alikuwa na chuki binafsi na Lowassa Ndossy.

KIONGOZI anachaguliwa na WANANCHI....sio Mwl. Nyerere...hujui hata hilo...Nyerere hakuwa na haki ya kuchagua Rais, wala sio malaika... na alikuwa anatoa his personal views...ila sio ndio ANACHAGUA RAIS WA NCHI...!!! Wananchi wakisema NO ni No...wakisema Yes ni Yes...!!! Ww mbona toilet cleaner A-town sisi hatusemi...!? Sbb umeamua na unaipenda kazi yako...!!! na kura yako utaamua utampa nani...!!! Majority ndio watasema nani atakuwa Rais...!!!
 
Ukimwona mwanaume anakufuta fuata ujue si riziki namshangaa sana huyu kikaragosi MR.PRESIDENT anawashwa badala ya kutafuta wale makapurwa anajibaraguza kwangu au na wewe umeshaanza kutetemeka kama huyu mjinga wako.
 
Last edited by a moderator:
Maneno marefu,lengo la uzi wako n nn kwan?watz sasa tunaiman na lowassa tu,tuhuma za kipuuz zictukoseshe Rais bora 2015
 
lakini lisemwalo lipo na kama halipo linakuja watanzania tuwe makini tusiruhusu watuhumiwa kukalia ikulu yetu
 
Kama Lowassa anajua anapendwa na kukubalika na wananchi kwanini anatumia pesa nyingi kuwanunua wapiga kura??
 
wakati wa richmond lowasa alienda kuomba ushauri kwa rostam amekili mwenyewe aliacha kufata hata ushauri wa mwanasheria mkuu na sasa hivi rostam yuko nae bega kwa bega akizungukwa na wakina karamagi,tibaijuka huku kina chenge wakijificha pembeni na hata baada ya mzee kasori kusema ukweli alitishia kumuua huyu mtu wanayempigia debe hafai na wala hatakuwa rais wanaojifanya wapambe wake wako pale kwa ajili ya kumlia pesa alizotuibia watanzania
 
Hiki ndo nilitaka kuandika na mimi mkuu, edo anaishia kamati ya maadili tu

Mleta mada peleka knyesi chako porin who is nyerere kwani alikua Mungu...nan asiyejua maovu mengi ya nyerere huwa nachukia na nazarau sana et nyerere almkataa sjui jk ohh sijui lowasa...mbona Jk kawa rais kama nyerere alikua Mungu ata Mungu anasamehe nawahakkshia lowasa atakua rais endeleen kupga ramli hzo rambirambi za gadafi bora mngejengea nyumba...nchi hii kiongozi Imara na msafi alkua sokoine tu hajawah kutokea mwngne full stop ata nyerere alkua anamuogopa sokoine.. bahati mbaya chema hakidumu R.I.P comred sokoine ....
 
wakati wa richmond lowasa alienda kuomba ushauri kwa rostam amekili mwenyewe aliacha kufata hata ushauri wa mwanasheria mkuu na sasa hivi rostam yuko nae bega kwa bega akizungukwa na wakina karamagi,tibaijuka huku kina chenge wakijificha pembeni na hata baada ya mzee kasori kusema ukweli alitishia kumuua huyu mtu wanayempigia debe hafai na wala hatakuwa rais wanaojifanya wapambe wake wako pale kwa ajili ya kumlia pesa alizotuibia watanzania

Kwa taarfa yako lowasa hana wapambe njaa mdmu wewe
 
Back
Top Bottom