hivi wewe unajua kusoma na kuandika kweli ? umewekewa facts lakini bado umekariri tu ?huna jipya maneno meng Ila ukwel unaujua kuwa lowasa ndio anafaa
huna jipya maneno meng Ila ukwel unaujua kuwa lowasa ndio anafaa
Huyu mtoa hoja atanisamehe kwa sababu ameandika kitu ambacho hakina kichwa wala miguu kwa sababu tu ya mandazi aliyonunuliwa mgahawani kwa kigezo cha kumchafua lowassa ili tajiri wake wa kahawa vichochoroni aweze kumwongezea vikombe vya chai. Hebu huyu mwandishi wa hii post, ajaribu kutueleza kwenye jukwaa hili kuwa dhumuni hasa la kwake la kuandika thread hin nini???? lazima kuna kitu unataka watanzania wakielewa kuhusiana na lowassa na mbio zake za urais. unachuki binafsi sana, hufai hata kidogo kupewa ubalozi wa nyumba, hufai kuwa mshauri wa tanzania kwa sababu tu wewe ni mtu mwenye chuki usiyefaa kwenye jamii ya watanzania waliokwisha fahamu ukweli na kila kitu kuhusu magazeti yenu ya udaku mnayoandika kila mara kuhusu lowassa. Mbona haujaanzisha makala ya kwanini AZIMIO LA ARUSHA LILIFUTWA???? NA KAMA UNATAKA KUMUENZI BABA WA TAIFA KWA KUMNYIMA LOWASSA HAKI YAKE LAKINI MASUALA YA USAWA, HAKI, VIWANDA NA AZIMIO LA ARUSHA LILILOKUWA KINYUME NA RUSHWA LIMEFUTWA, nini hiki unataka watanzania wakielewe tena heti kwa Lowassa tu kutokana na alichokisema baba wa taifa???? mwaka huu mtahaha sana but the president ni lowassa.
Maelezo hayo umeshindwa kuleta vilelezo na ushahidi unajitosheleza,pole sana naona unaingia ktk mkumbo ambao mwisho wa siku utakuja kujuta ambapo wenzako utakuta washahesebiwa,wewe na huyo mtangazania wako mnatakiwa kujenga hoja za namna ya kuwasaidia watanzania lakini sio hizo sera za kupakana matope ambazo zimeshachuja na watanzania sasa wanajua ukweli na uongo kwa hizo tuhuma za uongo dhidi ya Lowassa hatudanganyiki kwani sie chaguo letu ni White hair in white house 2015.
huna jipya maneno meng Ila ukwel unaujua kuwa lowasa ndio anafaa
Ninakushangaa wewe na hata mda wa kubishana na mtu asiyekuwa na lugha ya staha sina. nitakuwa nadhalilisha hadhi yangu na utu wangu kwa watanzania wanaotaka kuelimika kupitia mijadala hii. JIJIBU KAMA HUJI ALIYEFUTA AZIMIO LA ARUSHA. TUHUMA YA ESCROW NA RICHMOND IN TOFAUTI GANI, PESA YA BVR ILIYOCHOTWA NA HUYO MAEMBE KWA AJILI YA UCHAGUZI UMEZIONGELEA?? AU HAUPO NCHI HII. Najua utasema ni uongo kwa sababu hakuna kidhibitisho lakini hata ya Lowassa hakuna kidhibitisho. Achana na lugha ya kusema ilisemekana bali jaribu kuweka facts and not opinions.
Lowasa anafaa arusha sio kwa Watanzania
huna jipya maneno meng Ila ukwel unaujua kuwa lowasa ndio anafaa