Salaam kwa Mbunge wangu Anne Makinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salaam kwa Mbunge wangu Anne Makinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulukolokwitanga, Nov 16, 2011.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,204
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  Wapiga kura wako hatujauona na wala kuusoma huo muswada wa marekebisho ya katiba.

  Tumesikia kuwa ulisomwa mara ya kwanza ukajadiliwa na wananchi halafu ukaenda kubadilishwa lugha na sasa unasomwa mara ya pili bungeni, lakini sisi wapiga kura wako hatujawahi kuuona na wala kuusoma ili tutoe maoni yetu. Kuanzia Hagafilo, Ndzengelendete, Igominyi, kwenu Yakobi hadi Uwemba hakuna mtu aliyeusoma. Labda kama waliusoma Njombe mjini.

  Tunakuomba chonde chonde tumia hata njia za kisanii ili tutoe maoni yetu kwenye muswada wa katiba kama kweli unatuwakilisha sisi hapo bungeni. Sisi ndio tulio kutuma bungeni, hata kama uchaguzi wa mbunge haukufanyika baada ya wewe kumnunua mpinzani wako.

  Hatuna mpango wa kuandamana lakini tunadai haki yetu ili katiba mpya ituondolee kero kama za LUMBESA za viazi na usanii wa wapemba wanaokuja huku kununua nyanya zetu.
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,384
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  Mmmh...haya bana! 'Undungu ni kusaidiana' (Ulukolokwitanga!).
   
 3. jakirogo

  jakirogo Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Nyie nao manjuka tu, sa yule bi kidude mlimpa hiyo nafasi kwa mising ip?
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,293
  Likes Received: 1,656
  Trophy Points: 280
  Wakati wa kupata maoni majimboni alikua india kuwasalimia wagonjwa!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Bi Kidude kumbe hata yeye hakupeleka kwake ule!
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,204
  Likes Received: 3,190
  Trophy Points: 280
  Alipita bila kupinga. Kwa mujibu wa Mzee Six ni kuwa amewekwa na mafisadi, huenda ndio walimpa hela za kununua wapinzani wake. Sisi tunataka katiba mpya itutatulie matatizo yetu ya kilimo, tuuze Apples zetu ulaya kama wasouth na wazim, tuuze maua ulaya kama wenzetu kule kwa Lema...
   
 7. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbunge wako kasema anawakilisha maoni ya wananchi wa same mashariki na anasema maonin anayotoa ni kutoka kwa wananchi wa Same mashariki!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kizibo kile next msimpe kura zenu
   
 9. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,902
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Mtoa uzi amesema anne makinda na siyo anne kilango.
   
 10. l

  luckman JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kuna mwingine anaitwa rwehikiza ccm anasema wabunge wamepita kwenye majimbo kukusanya maoni sasa sijui hii ni kwa mujib wa kifungu kipi!
   
Loading...