DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,936
- 2,144
thanks beibe i love you
nimeona unavyonijali mwaaaaaa
Moyo unadansi dansi kwa mwaaaa yako, senkyu ndomana nlikumiss.
thanks beibe i love you
nimeona unavyonijali mwaaaaaa
prime minister ndo nini tena?
mm nakujua tu labour minister
asante sana kwa maziwa nahisi nitanenepa bestito
sasa hayo maziwa nitayapata wapi humu ndani jf au?
kule nitakwenda kwa kubeep kwani nazitamani sana zile
posho za bungeni zinanipa mhemko besti nifanyaje?
Moyo unadansi dansi kwa mwaaaa yako, senkyu ndomana nlikumiss.
Tutaongea kuhusu maziwa, ila kwa shida ulizopata kule inabidi ata niwe nakuletea
Posho waachie wenyewe ukitokeza wewe watakusababishia yale yale
Usijali my lady, kule ni sehemu ambako watu hunong'ona kwa kina........
nimeshakaribia usidansi tena
halafu chunga :A S-frusty2: nisiende tena
waweza kunionesha mfano wao wa hicho wanachokinong'ona kwa kwa kina?
waweza kunionesha mfano wao wa hicho wanachokinong'ona kwa kwa kina?
wooooooooow!YAONESHA UNANIJALI MSALIMIE Excel
Tatizo sio mimi love....tafakari chukua hatua!Nimekumiss sana ujue...unavonifanyia sio kabisa!
wooooooooow!
jamani ladyfurahia, nilikumiss mpaka nikaumwa yani... nilitamani sana nikufuate huko mama!!
pole sana kwa majanga yaliyokukuta!!!
huwezi amini nilivyostuka niliposkia sauti yako ikiniita!
welcome back sweetheart.....!
Curious as always, i like that.
Nmekutana na umeme getini, prime minister haipatikani kwako kwa nini.
ndo nini mbona sikuelewi ? niondolee hilo fumbo sikuelewi
walinisingizia kabisa
nimezikosakosa 300,000 hivihivi best
yaani my wiii mwenzio ningekuwa na ka verossa sasa
Nlikutafuta kwenye meseji, haupo.