Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hilo neno tu limenikosha sana charminglady hadi hasira kwa Chocs zimeniisha...!
Nimekumiss sana ujue...unavonifanyia sio kabisa!
Last edited by a moderator:
Hilo neno tu limenikosha sana charminglady hadi hasira kwa Chocs zimeniisha...!
Nashukuru kama ulipata, have you opened for me?
Hilo neno tu limenikosha sana charminglady hadi hasira kwa Chocs zimeniisha...!
Hahahahahaha et "umuote"!Chimbuvu & Chocs mna ajenda gani hapa?? Ngoja nimuote kaka yangu Erickb52 aje anifafanulie make siwaelewi elewi...
Afu ladyfurahia atakuwepoa hapa Kesho... Pia kutakuwa na party ya kumkaribisha tena Mjengono....
Nilikwenda afrika magharibi wakanitosa majini nikala ban ya nguvu
sasa ndo nimerudi bestito nina madonda mwili mizima, najua utanipa
dawa ya kupaka hivi vidonda. Kule ni kubaya asikwambie mtu usiombe
kubakiwa kwenye roli na ukaenda kule utajuta bestito
Huyu kaka nasikia alipigwa ban humu ndani.
I will take care of you my lady.
Hapana kabisa walikusingizia
Nilikwenda afrika magharibi wakanitosa majini nikala ban ya nguvu
sasa ndo nimerudi bestito nina madonda mwili mizima, najua utanipa
dawa ya kupaka hivi vidonda. Kule ni kubaya asikwambie mtu usiombe
kubakiwa kwenye roli na ukaenda kule utajuta bestito
mhm! muache apumuzike my dia
Kwanza pole sana kwa hayo, nakupa offer ya lita moja ya maziwa kila asubuhi mpka utakapo kua fit.
Naamini hutaenda tena kule...
Haya bibie, prime minister unakujua?
mhm! i can't understandy u?