Salaam jamvini

Kitangina

Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Wadau mie ndoo kwaanza naketi kwenye jamvi nipate japo gahawa kisha tuanze kupiga mastoriezzz
 
gahawa kachukue uani
mwambie kidawa akumiminie.
 
karibu,tukupatia magai,ulanzi,machozi ya simba au chibuku?
 
...kama umekuja kunywa kahawa hapa umepotea,hiki si kijiwe cha kahawa,kwakuwa si desturi yetu kumfukuza mgeni tunakukaribisa jukwaani utujaalie hakima na busara zako...KARIBU SANA...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…