Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:-
1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao, akili zao, fikra zao, mbinu zao, vyombo vyao, miili yao, ukalaani ardhi waikanyagayo, vyakula walavyo, mavazi wavaayo na chochote wakiwekacho ndani au nje ya miili yao kilaaniwe kwa nguvu zote wote watakajilazimisha kuwa viongozi wa ngazi yoyote katika Nchi hii bila ridhaa ya asilimia kubwa zaidi ya Watanzania . Ukawateketeze wote wanaoihujumu Nchi hii, wanaotumia mabavu, rushwa na njia mbalimbali kuwakandamiza Watanzania wengine wanyonge na wasio na hatia. Uwatume MALAIKA wako wenye upanga wa moto na kuwakata vipande vipande WADHALIMU wote katika Nchi hii.
2. Kwa upande mwingine Ee Mungu mkuu, Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakuomba uwainue WAPIGANIA HAKI wote katika Nchi hii, uwalinde, uwaongoze, uwafadhili na kuwabariki kwa baraka zako kutoka mahala pa juu sana uketipo. Uwape nafasi ya kuliongoza Taifa hili huku wakiachana kabisa na UBINAFSI, WIZI WA MALI ZA UMMA, UFISADI, DHULUMA na uchafu mwingine wowote ule. Amina.