Sala yangu kwa mzungu

Samahani, KWANI BABA YAKO PIA SI NI MWANAUME?
 
Ama! Yakhee Kala mdudu huyu!? Ndoa maana anaongea madudu...
Wewe mwafrika unataka mzungu akusaidie olewa nae
 
Housegirl???? The poorest thiking ever hppened. Maakini hao wazungu unaosema si ndio hawa wanaume wao wanaolewa na wanaume wenzao?? Si ndio hawa wanawake wao huolewa na kujitia vijiti papuchini kwa kosingizio cha revolution??

Kiti kama hukijui unajidhalilisha wewe binafsi na pia una blunt uwezo wako wa kufikiri kuamini mambo ya kijinga na kutaka na wenzako wayaamini pia.
 
Haya maisha tu dada, usijisahau kiasi hicho hata kama upo ktk level flani ya maisha, bado hujachelewa nafasi ya kujirekebisha unayo.
Watu ni wathirika lkn huyu kaathirika zaidi na sijui ataponaje, anaumwa sana kule upstairs
 

Nimeongelea ukatili kwa wanawake, ubazazi wa waume (husbands) "unaotetewa", sexual freedom waliyonayo wanaume tu, mfumo dume, lawama kupewa wanawake mahusiano yakiharibika, unyonge wa wanawake kushindwa kutoka kwenye mahusiano mabovu na ya mateso kwa sababu ya jamii.

Umemuona mzungu tu?

And I'm not taking anything back.

ni ukweli ulio wazi gap kubwa wametupiga as far as

ustaarabu (kutesa na kudhalilisha wanawake, kusaidia kazi za nyumbani, eti huku hata mwanaume kumuomba mwanamke msamaha nuksi),

wanawake kuelewa haki na thamani yao na kuweza kujitetea,

na kuwa na jamii supportive kwa furaha na Uhuru wa watu hasa wanawake.

Si ndio hawa wanawake wao huolewa na kujitia vijiti papuchini kwa kosingizio cha revolution??
.
geez you must the most boring sex partner ever. you can introduce sex toys in your sex life and make things interesting bruh.
 
Kumbe umaskini wa Africa sababu kubwa ni wanaume ndo najua Leo.
nyumba za serikali wapewa michepuko.

hela zikipatikana zapelekwa kuweka heshima bar na kutafuta nyumba ndogo.

vyeti na kazi zapatwa kwa kuvua pichu.

mama akitaka kufanya kazi mume hataki (KWA HELA GANI!!!)

Wanashauriana wasioe wasomi.

etc etc

yani ujinga ujinga tu toka huku chini ndomana hatuendelei.
 
Housegirl we ndo ulirekodiwa mbona unalalamika sana
 
You act like you are somebody, but i don't say you are no body, you must be a disgrace woman.
Kwa ulichobandika hapa hata hao wazungu hawatakuunga mkono.
 
Wow! Nilijua ni sala kwa Mungu kumbe ni sala kwa Mzungu! Aisee! Jina linaendana na fikra zako. Very sad.
 
Wow! Nilijua ni sala kwa Mungu kumbe ni sala kwa Mzungu! Aisee! Jina linaendana na fikra zako. Very sad.
muzungu atupe elimu yake atukomboe na ujinga na utumwa wa fikra...SO BE IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…