Sala ya wachaga

Sala ya wachaga

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
1,420
Reaction score
1,739
Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu Hela Iko
[TABLE="class: yiv202227464MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv202227464MsoNormalTable, width: 9"]
[TR]
[TD]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Viitikio:

1. Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO)

2. Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU)

3. Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)

4. Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti! (MWIKA)

5. Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini! (KILEMA)

6. Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti! (KIRUA)

7. Usitunyime Riziki Uchumi! (URU)

8. Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza! (KIBOSHO) (By the way, Wakibosho si wanasiasa!!)

9. Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa ni Endelevu!( MACHAME)

NA
10. Kwetu Ikikosekana SHIlingi MUngu Nakuapia Dunia Utaichukia! (KISHIMUNDU)
 
Ha ha haaaaa, he he heeeeeeeeeee, kweli wikiendi imeanza vizuri na wachaga walewale.....!
 
Umeniharibia siku kwa kutaja majina matakatifu ambayo hayana mzaha. Hujui utendalo na iwe heri kwako mungu akusamehe.
 
Tehe tehe tehe !
Wachaga noma.
Nahisi huyo dogo kwenye avatar yako anachungulia mapene aliyokwiba dukani kwa babake !
 
Teh teh teh...umeniudhi kweli...ila ucjali nakuletea zawadi ya shiling 100 nikukwangulie hiyo vocha yako ya tiGO..
 
wachaga noma,kuna jamaa alishawahi kuibiwa pesa ya karo na baba ake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom