kiwatengu na wenzio ondokeni humuMke wangu The secretary mi nawashangaa hawa,ugali wapikie kwa jirani kula walie sebuleni kwetu'kisa eti kwao hawana feni,kha!
Hayakuhusu
eti eh?
Ameeeeeeee!
Kila asubuhi anasali hivi:
Eh Mungu mwingi wa rehema,
Naomba unizidishie moyo wa uvumilivu,
Nimvumilie mme wangu Arushaone,
Maana kazidi ukware.
Eh Mungu
Naomba unizidishie roho ya upendo,
Nizidi kumpenda mme wangu Arushaone,
Naomba unizidishie roho ya staha,
Nimtunzie heshima hata nikitongozwa na bishanga.
Eh mola mwingi wa rehema,
Ninakuomba usinipe nguvu,
Kwa kuwa nikiwa na nguvu,
Nitampiga nimuue,
Eimeen.
kiwatengu na wenzio ondokeni humu