Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Arushaone anafahamu hii kitu!!? Au anampeleka mwenzie kwenye sinagogi halafu anasali kimoyo moyo!
Sasa utuambie sala yako ni ipi hasa kati ya hizi mbili!
Bishanga tunaona juhudi zako za kututenganisha ila bahati mbaya sana kwako ndoa yangu na Lady doctor ni imara kama jeshi la Al-Shaabab!!!!
Ushindwe na ulegee hadi utetemeke kama Temeke daadadeki!!!!
nikikatisha mbele yako?
a journey of a thousand miles huanza na hatua moja kabanga
Kiwowowowoooooooo
Miss youuuuu
love you usiku ulikuwa mrefu ngoja nilale kidogo baadae wangu
nikikatisha mbele yako?
miss you ten jamani za tangu jana? Mwenzio nikikatiza Misuna nahisi kama nakuona vileee LOL!
Ameeeeeeee!
Ndo hapo nashangaa na huku yeye ndie haishi kukatiza mbele yako