Arushaone anafahamu hii kitu!!? Au anampeleka mwenzie kwenye sinagogi halafu anasali kimoyo moyo!Kila asubuhi anasali hivi:
Eh Mungu mwingi wa rehema,
Naomba unizidishie moyo wa uvumilivu,
Nimvumilie mme wangu Arushaone,
Maana kazidi ukware.
Eh Mungu
Naomba unizidishie roho ya upendo,
Nizidi kumpenda mme wangu Arushaone,
Naomba unizidishie roho ya staha,
Nimtunzie heshima hata nikitongozwa na bishanga.
Eh mola mwingi wa rehema,
Ninakuomba usinipe nguvu,
Kwa kuwa nikiwa na nguvu,
Nitampiga nimuue,
Eimeen.
Hahahahhaa!!!!!!!!
Eeeh Mola mwingi wa rehema naomba Bishanga awe kipofu asione wadada warembo wakikatiza mbele yake
Eeeh Mola mbariki na mke wake The secretary ile biashara yake yakuuza supu ya utumbo wa bata ikue angalau auze na gongo
halafu Bishanga we mchokozi sana, ukikatisha mbele yangu, umeisha.... Lione kwanza!

Bishanga tunaona juhudi zako za kututenganisha ila bahati mbaya sana kwako ndoa yangu na Lady doctor ni imara kama jeshi la Al-Shaabab!!!!
Ushindwe na ulegee hadi utetemeke kama Temeke daadadeki!!!!
wote semeni eimeen!
my sweety wife!
i love you