Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,793 Jan 19, 2014 #2 kuna nzuri zaidi ya kukuwezesha kuwatambua maadui zako... ''Ee Mungu,Mwenye Enzi,nakuomba uwang'oe maadui zangu meno ya mbele ili wakitabasamu niwatambue kwa mapengo yao'' kisha unatupia amen!
kuna nzuri zaidi ya kukuwezesha kuwatambua maadui zako... ''Ee Mungu,Mwenye Enzi,nakuomba uwang'oe maadui zangu meno ya mbele ili wakitabasamu niwatambue kwa mapengo yao'' kisha unatupia amen!
CHIKITITA JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 445 Reaction score 158 Jan 19, 2014 #3 kweli duniani kuna mambo, wakati wewe unamuombea njaa adui nawe kuna mtu anakuombea njaa
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Jan 19, 2014 #4 CHIKITITA said: kweli duniani kuna mambo, wakati wewe unamuombea njaa adui nawe kuna mtu anakuombea njaa Click to expand... Matokeo yake Taifa zima linakumbwa na njaa kama ilivyo sasa.................
CHIKITITA said: kweli duniani kuna mambo, wakati wewe unamuombea njaa adui nawe kuna mtu anakuombea njaa Click to expand... Matokeo yake Taifa zima linakumbwa na njaa kama ilivyo sasa.................
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jan 19, 2014 #5 Adui yako muombee shibe ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.....
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,038 Jan 20, 2014 #6 hivi ulikuwa unawaza nini mpaka kutuwekea sledi kama hii