Hao pia sidhani Word. Si kitu rahisi ujue sababu ile kitu inakuja tu na ikishakuja basi akili zinahama na kuhama. Sasa kukumbuka sala sidhani kama ni rahisi. Ila huenda wapo wanaoweza.
Hivi kuna maelekezo ya style za kutumia kufanya tendo la ndoa kwa wanandoa kutoka vitabu vya dini? kwa anaejua tupeana Elimu hapa maana tunakoelekea sio kabisa.