Sala ya kabla na baada ya tendo la ndoa

Sala ya kabla na baada ya tendo la ndoa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,693
Reaction score
21,765
Muhimu kwa waliofunga ndoa pekee,na wanaofuata sheria takatifu
IMG_20181213_144638_350.JPG
 
Upendo Wa Mungu waliouuonja au unaozungumziwa hapo Ni Upi wakuu
 
Na sidhani atakuwepo wakusoma baada ya tendo.. Sidhani kabisa.. Maana kwa maisha yetu machache ya uzinzi hatuwezi.. Sijui Wa kwenye ndoa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao pia sidhani Word. Si kitu rahisi ujue sababu ile kitu inakuja tu na ikishakuja basi akili zinahama na kuhama. Sasa kukumbuka sala sidhani kama ni rahisi. Ila huenda wapo wanaoweza.
 
Hao pia sidhani Word. Si kitu rahisi ujue sababu ile kitu inakuja tu na ikishakuja basi akili zinahama na kuhama. Sasa kukumbuka sala sidhani kama ni rahisi. Ila huenda wapo wanaoweza.
Wale watumishi watumishi ambao wapo karibu saaana na Mzee watakua wanafuata wanachofundisha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tu,ndio mmeamua kusali mwenzako hamalizi,unabaki kufungua vimacho unamchungulia jinsi anavyokuchelewesha na njaa ya miezi miwili...
 
Mtu bastola imsimama inamwangalia mlengwa.. Hata hiyo sala nadhani ataiona upuuzi
 
Kama we usali ujue hufanyi tendo la ndoa hii kama kusali kabla ya kula
 
Mmmm na wale wenye nguvu za kuweka kigogo mlimani mpaka usali yeye kashamaliza anakoroma huko
 
Back
Top Bottom