Sala ya Bwana...

WISDOM SEEDS

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
841
Reaction score
283
Mtoto mdogo wa umri kati ya miaka nane na kumi aliyeishi na wazazi wenye kupenda sana dini,
walimfundisha jinsi ya kusali sala ya bwana, ambayo aliambiwa kuwa lazima awe anasali kila siku usiku
kabla ya kulala. Ili asiisahau walimwandikia kwenye karatasi.

Alisali kwa siku kadhaa akachoka na kuamua kuibandika kwenye ukuta jirani na kitanda chake, ikawa kila anapotaka kulala huinyooshea kidole na kusema, "Mungu mi' nimechoka utasoma mwenyewe..." kisha anapanda kitandani na kulala.
 
Hahahaaa, huyo Chalii kweli Nunda
 
got another crap again...,hata vichekesho vinahitaji elimu..,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…