Ee Mungu mkuu, leo tunakumbuka siku ambayo Yesu Kristo aliingia jijini Jerusalem kwa shangwe kama mfalme wa Haki.
Tunaomba kwa mkono wako wenye nguvu, utuondolee watawala dhalimu wanaotesa watu, wanaoua watu, wanaobambikiza kesi, wanaojilimbikizia mali, wanaotapanya mali za umma, wanaopora haki za watu, Mungu mkuu, ukawashughulikie kama Daudi alivyomshughulikia Goliath ili tupate watawala wenye haki na wenye nia njema.
Na watu wote waseme, Amina.