Sala kabla ya tendo la ndoa...

^^
Hongera sana FP Vipi kushukuru? Iliwahi kukuingia moyoni?
^^
siwezi kusema uongo.....
sijui watu wanasalije, ila mimi/sisi tunaposali, kabla ya kuomba, huwa tunashukuru kwanza kwa yote tuliyojaliwa. kama ni usiku basi tunashukuru kwa kila tulichojaliwa tangu asubuhi hadi jioni, na kama asubuhi basi huwa tunashukuru kwa kila kilichofanyika usiku. Ila shukrani za kipekee baada ya tendo la ndoa (kwa Mungu) sijawahi kufanya, tunashukuriana wenyewe tu, lol!
 
ikiwa mnaliendea tendo mkiwa wasafi kwa maana ndoa imefungwa kihalali either msikitini au kanisani, hiyo haina shaka.
Lakini umeenda kwa changu, unamwambia kwanza sala....!!
 
Na kwa sisi ambao hatujabahatika kuingia kwneye ndoa. Tusaidieni dua za kuomba ili nasi tubariki tendo hili.
 
mwelewe mtoa mada rafiki, amesema ombea tendo la ndoa, siyo ngono.
sasa unakuwa na kigugumizi gani kuombea tendo la ndoa? Mungu anajua unatakiwa kulifanya ili ndoa yako ikamilike, sasa kwa nini umwogope?

My dia rafiki FP nimemuelewa vyema kabisa mtoa mada, na hata mimi nazungumzia ndoa na wala si ngono! Najaribu kufikiria yaani sijui ndo nimesimama au nimeinama au nimepiga magoti namuomba Mungu sijui ndo abariki mzigo au hata sijui naombaje ombaje!!! Hapana FP, hapana aisee ..... Mi siwezi! Kwangu naona ngumu sana!
 
ha haaa, lol!
unaombea tu, mfurahie.....lizae matunda (kama mnataka matunda)...... liwe na kumpendeza Yeye.....
 

kaka mkubwa nisamehe bana!
hii kataa hii imenifanya niwe curious ujue!
ahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa manake umekataaa kata kata!
YANI NIMEJIKUTA TU NAKUPIGIA PICHA unavokuwa uko busy!
hii akili ya 2kongosho sijui nimeitoa wapi!:smash:
 
hahaaa nilivyoona tu hiyo heading nimechekaje
ndoa kuombewa kama chakula makubwa.....

Sasa kama sio mke na mume,bado mtaliomnea hilo
tendo,sijui sala yake itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…