Sala, dua na maombezi ya kimya

Mshana umeongea jambo zito na la muhimu sana kwa maisha ya kiroho. Very powerful and very transformational
 
Una haki kimtazamo kusema hivyo lakini nahofia hili litageuzwa la kidini na kuanza mtifuano usiojenga...BTW ishu ya Israel na Palestine ni zaidi ya sisi tuijuavyo
naomba upite pm tafadhali @mshanajr
 
Asante kwa ujumbe huu, naomba kufahamu tofatuti ya Maombi na dua
 
Wewe ni mtu wa mambo ya uchawi sala wpi na wapi?
 
Dua ndio kila kitu.

Nna uhakika wengi wetu humu tunapiga sana Dua za kimya kimya
 
mshana Jr umenikumbusha jambo muhimu sana maishani mwangu na ni kweli kila mara nisipofanya maombi lazima nianguke dhambini tanx kaka mshana jr Mungu akubariki sana
 
Hapana ila zile nyimbo zina nguvu ya ajabu
Kaka kibaka kaokika siku hizi anachapa tu injili
 
Kuna nguvu ya ajabu kwenye hizi dua na maombi ikifika mahali akili imegoma ita jina lake yeye alie juu yeye mweza wa yote

Matendo ya Mitume 4: 11 Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni.
12 Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.
 
Kweli shetani mbeba lawama...
Hivi imagine we ndio shetani, tuhuma kama hizi ungezikubali? Kwa sababu hujasali ndio mchepuko umekuja, wakati Kitendo cha kuwa na mchepuko tu sio sawa kimaadili...
Sala zako huwa unatwanga Maji kwenye bakuli.
 
Kweli shetani mbeba lawama...
Hivi imagine we ndio shetani, tuhuma kama hizi ungezikubali? Kwa sababu hujasali ndio mchepuko umekuja, wakati Kitendo cha kuwa na mchepuko tu sio sawa kimaadili...
Sala zako huwa unatwanga Maji kwenye bakuli.
Kwakweli inabidi nijitafakari, ila kama kijana kipindi hujaoa utaishije??
 
Aaaamen Bujibuji kwa neno la uzima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…