Sala, dua na maombezi ya kimya

kabisa SEMA WENGINE WANAFANYA BINADAMU TUWAONE
 
Nyimbo za Tenzi za Rohoni zina nguvu ya Ajabu kivipi Mshana??
Ulishawahi kuziimba? Kwenye Ukristo kuna vitabu hivi mwimbieni Bwana Tenzi za rohoni na vingine ...Tenzi za rohoni hutumiwa na madhehebu mengi na nyimbo zake kiroho hufanya maajabu
 
yhaaaa nimeshawhi kuziimba na huwa naziimba sanaaa tuu ndomana nimeuliza na nikiziimba hizi huwa napata sana Amani Moyoni
 
Leo umekuja vzr mshana jr hapo naunga mkono 100%. Kabla cjafungua uzi huu nlikuwa nasali kumya sababu ndo nimeanza safar kutoka mkoan kwenda dar. Kwa iman tutafika salama. Naamini sana sala za kimya na zimefanya kazi sana kwangu na nnaowaombea..
 
Asante nafanya sala maalum pia kwa ajili yako na wasafiri wengine hapa nilipo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…