Sal Davis na Mimi 2006 -2016 (4)

Sal Davis na Mimi 2006 -2016 (4)

Unarudi palepale,
Katika harakati kutafuta uhuru ni wote walikuwepo.
Kuna hawa huwataji kabisa wengi tu ni kwasababu mnaita makafiri.
Wamefanya mengi sana,ila wewe ukikaa ukiamka ni Abdul sykes.
Sally Davis kaimba sana Euro pub kule kawe. Umeeleza vizuri historia mwanzo badae mara wazee wa gerezani,kkoo hao.
Hapo unaharibu
Babu...
Nimechaguliwa Mwandishi Bora Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo.

Kama ni historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika ukipenda unaweza ukaanza na baba Kleist Sykes alipoasisi African Association 1924 na Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika)1933.

Ukija historia ya kuasisiwa kwa TANU 1954 unawakuta wanae: Abdulwahid, Ally na Abbas.

Abdul kadi yake ya TANU No. 3 na Ally No. 2, Nyerere No. 1.

Ukikaa ukiamka huwezi kuwafuta watu hawa katika historia ya uhuru na hata ofisi ya TAA ilipozaliwa TANU alijenga Kleist Sykes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom