J Jalala Member Joined Apr 15, 2010 Posts 47 Reaction score 18 Jun 28, 2012 #1 Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshafanya biashara na Sakura Automobile je ni waaminifu kama Autorec?
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Jun 28, 2012 #2 mkuu sakura auto mobile hawana tatizo .... kuna jamaa anaitwa Nalaka De Soya yupo hapo .... mimi ninamjua siku nyingi sana tangu alipokuwa kampuni anayoitwa RAMADBK trust them
mkuu sakura auto mobile hawana tatizo .... kuna jamaa anaitwa Nalaka De Soya yupo hapo .... mimi ninamjua siku nyingi sana tangu alipokuwa kampuni anayoitwa RAMADBK trust them