Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,341
- 97,012
Teh!Mmmh.
Hivi one stand night ndiyo usiku mmoja uliosimama? Inamaana sakayo anakamchezo ka kusimamisha usiku?
Ni kama ile ya WWE one night stand
We bado mdogo,ni ngumu kuelewa
Teh!Mmmh.
Hivi one stand night ndiyo usiku mmoja uliosimama? Inamaana sakayo anakamchezo ka kusimamisha usiku?
Hahahhahah
Hatimaye umepata shemeji
Umemuita au umeswitch? [emoji23]Hahahhahah
Nimeenda kumwitia ngoja akuje mwenye I'd yake
Umeniwahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye umepata shemeji
Nimeswitch bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sakayo mwenyewe kaja na kuondokaUmemuita au umeswitch? [emoji23]
Tukiachana na hayo
unadhani tutapata shemeji hapa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaha mbona shemeji
Khaa.Teh!
Ni kama ile ya WWE one night stand
We bado mdogo,ni ngumu kuelewa
Kama kilicholetwa kwa huu uziKhaa.
Udogo kwenye nini J?
Atakua kaenda kuyachambua standard ya hili tongozo tumpe muda Wa peke yakeee kwanzaNimeswitch bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sakayo mwenyewe kaja na kuondoka
Kwa hiyo mie mdogo hata siwezi kupata ka one hour stand?Kama kilicholetwa kwa huu uzi
HauweziKwa hiyo mie mdogo hata siwezi kupata ka one hour stand?