Hii ndiyo picha halisi ya CUF-Halisi na CUF-Lipumba.
Wabunge 40 kati ya 42 wa CUF jana walitoka bungeni mara tu baada ya mbunge wa Kaliua Bi. Magdalena Sakaya kusimama ili kuchangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Mbunge pekee wa CUF aliyesalia ni Maftaha Nachuma wa Jimbo la Mtwara Mjini.
Toa maoni yako.