esitena tetena
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 1,747
- 1,082
kumbe viongozi wa vyama vya upinzani wakiitwa madikteta sio uchochezi?Sakaya ailima barua CUF
Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.
Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.
My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!