Sakaya ailima barua CUF

Sakaya ailima barua CUF

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,006
Sakaya ailima barua CUF

Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.

Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.

My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
 
lipumba is irrelevant,kutaka kupambana na lowassa kupitia kumrudisha lipumba cuf haitawezekana,mamvi anaijua siasa kuliko think tankers shallow type za bulembo na sendeka
 
Alijifunzia wapi?
 
Sakaya ailima barua CUF

Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.

Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.

My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!

!
!
Acha kuweweseka wewe....waachie Cuf yao wewe endelea na sisiem yako
 
Sakaya ailima barua CUF

Naibu Katibu Mkuu wa CUF (Bara), Magdalena Sakaya amesema amewasilisha barua ya rufaa katika mkutano mkuu wa chama hicho kupinga kusimamishwa uanachama.

Hivi karibuni, Baraza Kuu la Uongozi la chama hicho lililoketi visiwani Zanzibar lilimsimamisha uanachama Sakaya kutokana na kile kilichoelezwa ni kuvunja katiba kwa kutohudhuria kikao bila kutoa taaarifa.

My take.
Udikteta wa sultani Seif utaimaliza CUF!
Udikteta wa ccm haujammaliza amba jecha
 
HAJAILIMA barua,amejieleza
 
Kwa kuwa ubunge wake umetokana na uanachama wake CUF na kwa hiyo akifukuzwa uanachama na ubunge unakoma je ni kwanini kusimamishwa uanachama hakuambatani na kusimamishwa ubunge?
 
yaani wewe ni ukimaliza kuchafua chadema unahamia cuf, unaenda ACT, hivi kwa nini usijenge ccm uache kwa jirani na mambo yao?! unatia kichefuchefu.
 
Kuandika barua kitu gani? kuna mtu alishakwenda mpaka mahakamani
 
Huyu mama bado Akili hazijamkaa sawa siku zikimkaa sawa Ataacha kumsikiliza Lipumba atakapomuona Akiwa Mwenyekiti Act. Ana ubunge wa Tabora atakuwa keshaa upoteza.
 
Back
Top Bottom