Sakata LA Watumishi STD VII SERiKALI HAKUNA WARAKA

Sakata LA Watumishi STD VII SERiKALI HAKUNA WARAKA

njuga

Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
24
Reaction score
16
Wanajamvi pamoja na tamko zuri lililotolewa bungeni hususani kuwarudisha kazini watumishi darasa LA saba. Watumishi hao bado wanahaha hasa wale wa mashirika ya umma. Maafisa utumishi wakidai eti hawafanyi kazi kwa matamko wanahitaji waraka. Ombi waziri mwenye dhamana Mzee wetu mwalimu Mkuchika tuzaidie hako kawaraka hata kama kamstari mmoja ili turejeshwe kazini.
 
Kumbe ngoja nimtag au ndo wahesabu mauvimu maana kutoa mabilioni kulipa malimbikizo si mchezo
 
Back
Top Bottom