Tuwekee soft copy yote ndg ilituweza jiangalia na sisi manake naweza nikawa namshadadia palamagamba kumbe mm mwenyewe nimo.
Hawa vijana wambea wanajifanya hawakusikii.
We Jamaa kumbe ni Kilaza Kiasi hiki kama Mwenyekiti wenu tuu wa Darasa la 7 angalia namba 592 unaiyoizungumzia
Upande mwingine hili zoezi lilikua la kipumbavu. Unataka professor asubmit chet cha form 4 ili iweje ? Na je mtawatafuta wote walio simamiwa naye PhD na masters for disqualification .? Narudia tena hili zoezi halina maana
Mkuu,usichanganye,kuna ya taasisi,achana na hizo za Halmashauri. Za taasisi kama EWURA,TRA,TAZARA,TBS,TBC,BMT,TANROADS,DIT,TCA,TAAA,TANAPA,MUST,UDSM,UDOM,IFM,CBE,TIA,SUA,MZUMBE,MUHAS nk. Inaonyesha watu wengi hawakukamilisha nyaraka ndiyo maana ni INCOMPLETE,sasa inaweza kuwa:-We Jamaa kumbe ni Kilaza Kiasi hiki kama Mwenyekiti wenu tuu wa Darasa la 7 angalia namba 592 unaiyoizungumzia
View attachment 506448
Haya vilaza njoon msome
We uko nchi gani?!mbona wote waliochafuliwa hawajaenda mahakamani??
Ni kweli, ila usisahau kuwa asilimia kubwa ya watumishi ambao hawakupeleka vyeti vyao Wizara kupitia Katibu Mkuu & NECTA ilisema kuwa wapeleke INDEX NO. tu, kwa sababu ni kweli kuwa katika movement za 'kibinadamu' unaweza kuvipoteza, hata hiyo namba alishindwa kutuma, acha kupeleka maana yawezekana yupo too busy kuliko ubize wenyewe! Ndio maana conclusion ya wote ambao hawakuonesha ushirikiano ktk hilo ni kuwa 'hawajawahi kuwa na vyeti/elimu hiyo'. Twende kazi!Mkuu kichwa chako cha habari hakiendani na mchango wako. Hawa wana taarifa ambazo sio kamilifu, nadhani kuna vyeti vimekosekana na sio kwamba wana vyeti feki. Naamini hivyo ni vitu viwili tofauti.
Hii imepitia chuoni mkuu, hapo si pameandikwa UDSM? Sio wizara, angalia kwa umaakini. Hapa alihakikiwa kama watumishi wengine, hata huo uwaziri alikuwa hajafikiriwa! Labda useme kuwa hii haitamuathiri kwa kuwa yeye sasa ni Waziri, aka 'kujua kusoma na kuandika', Mh, Mungu atusaidie!Hahusiki, yeye ni mbunge na waziri,anatakiwa ajue kusoma na kuandika. Hapo mshahara atakosaje
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Prof. Kabudi ana vyeti feki.
Mmhh! Kweli? Watanzania tungekuwa tuna kasumba ya kuteteana hivi (UTAIFA kwanza, itikadi baadaye) tungekuwa mbali sana kimaendeleo. May be!ila watanzanian wengi ni vilaza, wanafiki...hamna hanari ya cheti feki hapo
wakati wa uhakiki hawakupeleka hivyo vyeti kwa sababu mbalimbali
walikuwa bize
walikiwa nje ya nchi
wamesoma nje hivyo necta wanahakiki na aliosoma
status inaonyesha ni incomplete, haina maana ni vyeti feki