Unatakiwa ukahojiwe na kamati ya nidhamu ya Bunge
Hahahahaaaa! Kuchagua CDM su upinzani wowote ni kufungulia fisi kwa banda la mbuzi. Haitotokea.Mwaka 2020 USIFANYE KOSI, Tupate ladha nyingine ya masosi
Mbona unakosa adabu mwana jf nimekukosea nini? Au kosa langu ni lipi?Wacha vitisho vya kikameruni wewe mbwiga.
Sasa hivi anajisahaulisha na kujiona msafi. Mimi haya yote anayofanya naona ni kutafuta cheap popularity na Huruma ya wananchiNa alipiga kura ya ndiyo, saizi snalalamika
Tunaitaji viongozi wazalendo wanaojali maslai ya taifa na vizazi vijavyo. Badala ya kuwa na viongozi wanafiki, wabaguzi , wakabila na wabinafsi kama tulionao na tuliokuwa nao
Pia kama rais anania njema na taifa basi aruhusu katiba ya jaji warioba (wananchi) hata kama atatoa serikari tatu lakini maudhui ya katiba ile ni nusu ya suluhisho la tatizo.
Pia ni muhimu kujenga taasisi imara kama bunge, mahakama , police, usalama kuwa huru kama wenzetu usa ambao kila taasisi ni huru katika decisions
Acha upumbavu wewe!! Alikuwa Waziri wa Nishati na Madini?Kumbuka na Mkuu wetu wa nchi alikuwepo wakati mikataba hii mibovu na akawa sehemu ya waliosema ndio. Leo tunahangaika kujinasua na mikataba hiyo kwa mtindo unaoelekea kutogharimu muda si mrefu. Any way, ngoja tuone hii kamati ya maprofesa itashauri nini.
Sijui una elimu gani? Wakati huo Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri alikuwa JPM?Sasa hivi anajisahaulisha na kujiona msafi. Mimi haya yote anayofanya naona ni kutafuta cheap popularity na Huruma ya wananchi
MIKATABA mikubwa inapelekwa baraza la mawaziriAcha upumbavu wewe!! Alikuwa Waziri wa Nishati na Madini?
Sasa yeye ni Rais. Ana uwezo wa kubadilisha mambo ambayo Kanuni ya Uwajibikaji wa Pamoja ( Collective Responsibility ) vilimbana na asingeweza kupingana na maamuzi ya wengi. Jambo hili wanywa viroba wengi hasa ninyi vijana wa juzi hamlijui!!MIKATABA mikubwa inapelekwa baraza la mawaziri
Sizonje alikuwa ni waziri , je alisaidia nini taifa katika kupitisha mkataba wa kinyonyaji?
Lakini wacha tumpongeze kwa hatua hii aliyofanya kama ni kutoka moyoni.
Pia ni vyema awe makinibkwani tukuteleza tu watatunyoosha kwa pasi ya three phase.
Huu si wakati ule. Ni wakati wa mabadiliko! Acheni kukumbuka ya nyuma. Toeni. Ushirikiano kwa Rais!Mfano,mzuri ni wakati wa mikataba ya gesi,wabunge walipiga kelele ipelekwe bungeni,ikajadiliwe lakin,wabunge wa ccm,walikataa,mpaka Leo.