Sakata la umeme - Kinshasa inawasha mishumaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la umeme - Kinshasa inawasha mishumaa

Discussion in 'International Forum' started by issenye, Aug 23, 2011.

 1. i

  issenye JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,146
  Likes Received: 988
  Trophy Points: 280
  [h=1][/h]
  Makundi ya wanaharakati katika Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, yametoa wito kwa wakaazi wa mji mkuu, Kinshasa, kuwasha mishumaa leo usiku, kulalamika juu ya kukatwa kwa umeme.  Ingawa Congo ina miporomoko ya maji inayoweza kuzalisha umeme mwingi, hata hivo mitambo iliyochakaa na kina cha maji kupungua kwenye mabwawa makuu, kumepunguza umeme na hivo kuathiri biashara, hospitali na shughuli nyengine.
  Kila mmoja kati ya wakaazi milioni 10 wa Kinshasa wameombwa wawashe mishumaa wakati mmoja, kwenye barabara, nyumba, maduka na roshani.
  Wanaharakati wanataraji mishumaa italeta mwangaza katika mji ambao mara nyingi uko gizani.
  Wasiokuwa na mishumaa wameshauriwa kugonga sufuria.
   
 2. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu sio kinshasa tu, Nairobi na hata kampala hakuna umeme ! halafu utashangaa wasaliti wa nchi waliomo humu ndani wanaiponda serikali
   
 3. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Na msaliti wa kwanza ni wewe. Unataka tuipe serikali kahawa au chai kwa kazi nzuri inayofanya? au?
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  We ma***o nini?kwa hiyo jilani yako akilala njaa na wewe kwako huli wakati una uwezo?
   
Loading...