Wandugu hili sakata ni balaa yaani kama unalisikia kwenye vyombo vya habari unachukulia simpo basi sio hivyo sasa hivi hukati tiketi ta treni bila ya kuwa na kadi ya kupigia kura hii imetokea hapa makao makuu. Nawakumbusha wanaosafiri kwa shughuli zao mbalimbali wakumbuke kubeba hiyo kadi