Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,212
- 1,642
Siku zote macho yako hayafumbi katika kutazama mkuu?Ni kweli ila Gambo alipata wasaidizi wenye uchu wa Madaraka pale Arusha, Mkurugenzi ukiangalia shule zake tu alizosoma zinamuandaa kuwa na Itikadi kali. Kuondoka kwake imekuwa sherehe katika Jiji. Gambo ana yake ila alipewa mkoa mapema sana bado yuko leval ya ukuu wa Wilaya ni sawa na Bashite
Sent using Jamii Forums mobile app