Sakata la Sh. Milioni 7 kwa dakika: Kasanga wa Easy Finance apandishwa kizimbani wasomewa makosa 199

Huyu brother kaachiwa au?! Kwa kweli kama walifikiria awamu hii kuna mganda au kidude sasa wamekubali...
Siyo mchezo...
 
Brother anadunda mtaani, ila ile jeuri ya wakati wa Mkwere kwisha kazi. Ule ujanja wa kuwapigia debe watu wanaopewa vyeo ili biashara zao ziweze kwenda vizuri, kwisha habari yake.

Wajanja wa awamu hii ni hawa kina Mzee Mfugale, Dogo wa Dar na watu wa aina hiyo.
 
Kumbe yuko nje, alilipa fine au vipi ?
 
Brother anadunda mtaani, ila ile jeuri ya wakati wa Mkwere kwisha kazi. Ule ujanja wa kuwapigia debe watu wanaopewa vyeo ili biashara zao ziweze kwenda vizuri, kwisha habari yake.

Wajanja wa awamu hii ni hawa kina Mzee Mfugale, Dogo wa Dar na watu wa aina hiyo.
Acha uongo wewe!!!,, nani anadunda mtaani, jamaa bado wapo gereza la mahabusu keko,, kesi yao bado haijaisha ,juzi tu walikuwa pale kisutu
 
Mkuu nasikia bado wapo lupango
Jamaa bado wapo ndani,hamna anaethubutu kula hela ya kina choma ili waachiwe mkuu,,labda kama ajitaki,, wapo keko wamejaa tele, kesi inayosababisha wawe ndani ni moja tu ambayo dhamana haina,ni (ML) kutakatisha,
uhujumu uchumi uwa ina dhamana japo masharti yake mara nyingi kama kesi ina thamani kufikia bilioni moja, basi inatakiwa uache keshi mahakamani mil500,, na dhamana yake hadi mahakama ya mafisadi pale ubungo,,, choma nasikia kawa imamu keko anaswalisha
 
Mwisho wa siku utasikia anashinda kesi
Unajua kwa nn wamewekewa na kesi ya money laundaring?kinachofuata ninkufirisiwa tu hapo mara nyingi watu janja janja wanakosaga maelezo kwenye pesa walizo nazo so wakikupiga na money laundering hutoki
 
Uhujumu uchumi ni kesi zitumikazo kuwakomoa wasio sifu na kuabudu na wasio pigwa chapa. Maana Mchungaji uwatambua kondoo wake hata Kwa sauti

Back
Top Bottom