Hellow wana Jf napenda kuuliza hivi sakata la wizara ya kazi na ajira pamoja na wakala wa ajira limeishia wap? hakuna utelekezaji uliofanyika ata kidogo especially kwny haya makampun ya simu inamaan serikal imeshindwa kutekelez walichosem au ndo kutufny wananchi kam vifaranga vya kuku kwmba tutanyonya kesho!! any update kuhusu hili jambo wana Fj!!?