Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

Ni wazi "vijana wale" wamedhibiti sasa utitiri wa zile nyimbo zilizotoka almost kwa wakati moja (Ney, Wagosi, Weusi, Roma et al) na ambazo kwa jicho la ziada mfadhili wao ni moja!! Mimi natoa wito kwa "vijana wale" waangalie na upande wa wananchi, bwana yule awe na vyeti au asiwe navyo, jina liwe la kwake ama la kuazima (sijui siku ya mwisho atatumia Albert la ubatizo ama Paul la mahakamani, nawaza tu pia jina moja kati ya hayo liitwe kuingia uzimani na lingine motoni itakuwaje mtiti wake kuzongania langu! langu! au siyo! siyo) wamtafutie kazi sehemu ambayo haina macho mengi, nina imani hata utendaji na ufanisi wa kazi yake kama RC umeshuka!! Mungu ibariki Tanzania
 
Iddy Amin alikuwa na kikundi chenye sifa kama ya hicho unachokisifia
Endeleeni kujitia matumaini huku siku zinasogea mtazeeka na matumaini hasi kama hayo yatasomwa na wajukuu wenu. Ukifikiria kuwa yaliyomtoa iddy amini madarakani ndiyo yatakayo mtoa JPM then you are gone. Kila nyumba na miiko yake
 
Back
Top Bottom