manyangumbishi
Member
- Feb 1, 2017
- 6
- 4
"Lissu alitoa tahadhari kwa serikali kuacha kuvunja mikataba bila kufuata utaratibu wa kisheria, serikali hii iliyotuingiza kwenye matope haya ikatoka na kusema Lissu amehongwa na wazungu kuwatetea.
"Leo mmeshindwa kesi mnatakiwa kulipa mabillion ya pesa za walipa kodi masikini kwa kuvunja mikataba bila utaratibu, Lissu kusema tena inaonekana siyo mzalendo! Hivi serikali hii inawaona Watanzania hawawezi kufikiri vizuri? na nyinyi wasomi wetu mnatia aibu sana
Heche amkingia kufua Lissu - Manyangumbishi.com
Sent using Jamii Forums mobile app
"Leo mmeshindwa kesi mnatakiwa kulipa mabillion ya pesa za walipa kodi masikini kwa kuvunja mikataba bila utaratibu, Lissu kusema tena inaonekana siyo mzalendo! Hivi serikali hii inawaona Watanzania hawawezi kufikiri vizuri? na nyinyi wasomi wetu mnatia aibu sana
Heche amkingia kufua Lissu - Manyangumbishi.comSent using Jamii Forums mobile app