Huyu mzanzibari kaishi ulaya, kakaa bongo, kakaa na kuolewa na wakongo kaharibika kabisa kwenye upande wa maadili ya wazanzibari.
Hapo kuna shida gani?Katika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu.
View attachment 3440272
Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya kinakuramba mapema sana.
Sasa hapo tatizo nini?.....mbona inajulikana kuwa alimenta fally ipupa bongoKatika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu.
View attachment 3440272
Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya kinakuramba mapema sana.
Waache mkuu waendelee kupiga soga huku wengine wakipiga pesa...si unaona watu wanakusanya bilioni 86 Kwa siku Moja ..yeye anakusanya umbeaWabongo bwana Sasa hapa shida nini ,huyo dada ni mjanja anatengeneza fedha sisi tunachongoa midomo tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hilo ndo SAKATA LA Mzize na wakala wake Jasmine!?