GE2025 Sakata la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo latua mezani kwa msajili, watakiwa kutoa maelezo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025.

Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala akipinga kupitishwa kwa Mpina kuwa mgombea urais, kwa kile alichosema ni kinyume na kifungu cha 16(1)4)I cha kanuni za kudumu za uendeshaji chama toleo la mwaka 2015.

Kwa mujibu wa kanuni hiyo, mwanachama anayewania nafasi ya urais kupitia chama hicho, anapaswa kuwa mwanachama wa zaidi ya siku saba.
Alipotafutwa kuzungumzia hilo, Naibu Katibu wa Mawasiliano, Uenezi na Mahusiano kwa Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo amesema hayuko tayari kulizungumzia hilo.

Awali, alitafutwa katibu mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu, simu yake iliita bila majimbu. Vivyo hivyo kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, Issihaka Mchinjita.

Mpina alijiunga na chama hicho Agosti 5 na Agosti 6, 2025 akapitishwa na mkutano mkuu uliofanyika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kuwa mtiania wa urais wa chama hicho.

Tayari Mpina amekabidhiwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na anaendelea kutafuta wadhamini wasiopungua 200 kila mkoa katika mikoa 10 ikiwemo miwili ya Zanzibar.
1755603422169.png

Chanzo, Mwananchi
 
Ina maana hiyo tume wanatoa fomu kama vipofu hawaangalii hata kama mgombea amekidhi au hajakidhi vigezo!?
 
Kujiunga sio ishu...mtu anaweza kuwa na kadi zote kitambo tu...ndivyo tunavyofanya. Chukua kadi ya ccm, act, chadema, chauma, cuf, nccr, nk zote unazilipia...malipo yenyewe buku kwa mwaka...ukiwa na mpango wa muda mrefu kisiasa unalipia zote... Alafu unakuwa active sana na chama kimojawapo tu
 
Mbona CCM walivunja taratibu zao na hawakuwahi kuambiwa wajieleza😳😳😳😳
Msajili ni kada wa CCM kama ilivyokuwa kwa Simon Sirro , hapo kaificha kadi yake usishangae 2030 akachukua fomu kugombea ubunge.
 
Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025.

Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala akipinga kupitishwa kwa Mpina kuwa mgombea urais, kwa kile alichosema ni kinyume na kifungu cha 16(1)4)I cha kanuni za kudumu za uendeshaji chama toleo la mwaka 2015.

Kwa mujibu wa kanuni hiyo, mwanachama anayewania nafasi ya urais kupitia chama hicho, anapaswa kuwa mwanachama wa zaidi ya siku saba.
Alipotafutwa kuzungumzia hilo, Naibu Katibu wa Mawasiliano, Uenezi na Mahusiano kwa Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo amesema hayuko tayari kulizungumzia hilo.

Awali, alitafutwa katibu mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu, simu yake iliita bila majimbu. Vivyo hivyo kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara, Issihaka Mchinjita.

Mpina alijiunga na chama hicho Agosti 5 na Agosti 6, 2025 akapitishwa na mkutano mkuu uliofanyika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kuwa mtiania wa urais wa chama hicho.

Tayari Mpina amekabidhiwa fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na anaendelea kutafuta wadhamini wasiopungua 200 kila mkoa katika mikoa 10 ikiwemo miwili ya Zanzibar.

Chanzo, Mwananchi
Kwa zile pini alianza kumpiga Samia nikajua ni lazima tu Chawa watatengeneza Zengwe!!

Mpina hakujua kama ACT ni CCM? Au alijizima tu Data?
 
Ccm kura nyingi za Kanda ya ziwa watakuwa wajinga kuzipoteza
Kwani ccm wanategemea kushinda kwa kura? Wangalau kabla ya Magufuli kuingia madarakani walikuwa na hofu, si baada ya Magufuli kuingia madarakani.
 
Kama jambo limetua kwa msajili ndiyo basi, huyu Hana mchezo kwa upinzani shoka la msajiri litatua
 
Kwani ccm wanategemea kushinda kwa kura? Wangalau kabla ya Magufuli kuingia madarakani walikuwa na hofu, si baada ya Magufuli kuingia madarakani.
nisahihi hata kama watakwapua huko ndiko nyingi zikizibitiwa na mpina watakosa uhalali ,zingatia usukumalization na wingiwao
 
Vyombo vya dola vitajazwa huko, na hakuna kitu vyombo vya dola vinaona sifa kama kuumiza wapinzani ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti.
 
Back
Top Bottom