Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
WanaJF,
Hili ni sakata la mchanga wa madini....
Si kawaida kuwa na wapiga miluzi wengi kiasi hiki katika medali za kisiasa. Wahenga walisema "miluzi mingi ...".
Katika halihalisi, ukiangalia kauli za Lowassa na Prof. Safari juu ya wamuuzi wa Rais Magu kusimamisha kusafirishwa kwa mchanga, utajua wanajua taifa nini na nini kinahitajika zaidi ili taifa lisonge mbele na kuachana na matatizo yaliyopo.
Ukiangalia kauli za wabunge, unaona baado hawajaiva kujua maslahi ya taifa ni yapi katika maneno yao. Wanafanya utabiri mwingi na kuonyesha uchama zaidi. Ila kwa bahati mbaya ramli hizi zimekuwa zikishindwa wanatabiri hatua inayofuata... Sahizi wengi wamewajua... Sidhani kama chama kitaendelea kutumika kama genge la kutoa tabiri za kisiasa zinazoshindwa ndani ya wiki au mwezi tu.
Ili kushinda hiki, tunahitaji falsafa ya chama ambayo vijana watakua nayo na waiishi. Kufuata matendo ya Rais na kumtabiria kushindwa, kunafanya watu wajue nani ni nani. Pia, inawagawa wanachama kwa msingi ya ushabiki na uelewa.
Shida kubwa inakuja pale utabiri unaposhindikana.
Hebu tujitafakali ni wapi tunakosea katika kusimamia mawazo ya kichama na ya kitaifa pia.