Wakuu,
Tuache woga amba kwa hakika hauwezi kutusaisdia kwa kufanyakile wazungu wanasema" name and Shame". sielewi ni kwanini naanisha uzi wenye kichwa kinachokuwa tofaui na taarifa ilivyo. Tutaje ayo majina vinginevyo hatuna tofauati na watumishi wa Gazeti la Uhuru
Ndiyo maana kukawa na kitu kinaitwa UKAGUZI. huwezi kuona kitu ukakaa kimya tu. lazima kufuatilia na kukagua mpaka ujiridhishe hakuna mchezo mchafu. Utaratibu Wa ukaguzi na ufuatiliaji ukuzingatiwa hakutakuwa na ukwepaji kodi, ujenzi holela, kufanya biashara maeneo yasiyoruhusiwa nk. kila mtumishi atimize wajibu wake
Ndoto za mchana hizi!!. Hivi inaingia akilini kweli wakala akutolee mzigo wako bila kulipa kodi halafu eti wewe ndiye uwe unamfuatilia kutaka kujua unatakiwa kulipa kodi kiasi gani :redface:. Hakuna mfanyabiashara mtakatifu kiasi hicho. Hapo nina uhakika ulicheka mpaka gego la mwisho likaonekana. Acha kujitetea kitoto. Mchongo wote unaujua na ndiyo maana ukakubali kupokea hayo makontena wakati ulijua wazi kuwa hayajalipiwa kodi. Subiri na huyo wakala aje hapa uone mtakavyoaibishana. Eti pesa si tatizo, bali jina langu kuchafuliwa ndiyo tatizo Mfyuuuuuuuuu!!!!! Pa....fu zako. Mtaisoma namba mwaka huu hakuna cha salia Mtume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.