Sakata la Makinikia baina ya serikali na Barrick : kati ya Magufuli na Lissu nani kaibuka kidedea?

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,843
3,128
Ngoma hii ili trend Sana kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha Magufuli Yuko Sawa, na wengine wakidai Lissu Yuko Sawa.
Nani mshindi kati ya hawa wawili kwenye Sakata hili?
 
Ngoma hii ili trend Sana kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha Magufuli Yuko Sawa, na wengine wakidai Lissu Yuko Sawa.
Nani mshindi kati ya hawa wawili kwenye Sakata hili?

Kidedea ni Rasilimali zetu ambazo kwa pamoja Magufuli na Lissu wamekuwa wakizipigania japo tofauti yao mmoja ni CCM na mwingine ni CHADEMA ila uzuri ni kwamba wote ni Watanzania wa ' Kindakindaki '.
 
Back
Top Bottom