Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii


Na wewe jikumbushe hiyo historia yako,huyo ndugu yako ndie alituletea pantoni mbovu pale magogoni,ufisadi hakuanza leo wala jana ila mamekubuu ktk fani
 

We kijana kwanza karibu sana hapa JF Where people dare to talk openly!!

Pili kabla huja changia tulia kwanza......! Maneno yako hapo juu ni yakimipasho mipasho.....! toa data zenye uhakika, kila mtu anaweza kuandika kwamba huyu kafanya hiki na kile...lete ushaidi wa hayo mazuri in terms of numbers....! unasema kaleta fedha nyingi....unamaanisha nini na how ameleta fedha hizo hapa na alimletea nani? zilienda hazina or wapi? toa udhibitisho!
Unasema alileta ndege zikiruka huko uarabuni....! ndege zipi hizo toa data kamili kama unauhakika na hayo!! Vinginevyo acha kudandia gari kwa mbele na kushauri usome vizuri michango ya wote waliochangia thread hii kabla hujaanza kuropoka ovyo!!

Hata kama huyo Nyang'anyi kafanya mazuri huko nyuma, wenzio hapa wanazungumzio issue iliyokuwa current i.e mahujaji we unanza kuleta issue za mwaka sabini bila ya udhibitisho!!

Moderator - Naomba michango kama hii uitolee mimacho, inatupotezea dira!!
 
MKJJ, I salute! Jana ulisema swali litajibiwa naona wameshawasilisha mojawapo ya zile DHC mbili imetua jana nimeona kwenye gazeti la leo.....

Still, swali langu ni juu ya ile ya kukodi, A300 hizi ndogondogo sina wasi nazo!!

Jibu lake nadhani majaliwa!!!!
 
ATCL siku hizi bana ina mi ndege kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…