Tatizo la wabunge wetu wanapenda kuongelea mambo kiushabik zats Y wanakuwa wanakinzana katika maamuzNi kweli kuwa maamuzi mengi ya serikali ni ya zimamoto! Katika mambo ya kitaalamu wabunge wangekuwa wanapewa muda wa kutosha kufanya consultation kwa wataalamu wa masuala husika!
Daaaa,huyu Tundu Lissu ni mtu makini. Yale aliyoyasema huko nyuma kuhusu madini ndo yanatimia leo.Ifahamike kwamba mapigano makubwa kati ya serikali na upinzani juu ya sakata la madini/mirabaha/mikataba lilianzishwa siku nyingi sana bungeni, mwanzo kabisa alikua mh mnyika akiwa waziri kivuli wa madini, zitto kabwe na kwenye mambo ya mikataba tundu lisu alikua mwiba mkali sana. sasa hatimae kitendawili kimeteguliwa alichokua anakipigania na matokeo ya tume ya madini vimeenda sawa. tizama hapa.
Bila kujali mambo ya uvyama,kama Wabunge wa CCM wataanza kuwa makini,mambo mengi ya hovyo yasingetokea. Kumbuka hiyo video Clip ni ya muda mrefu,lakini leo yanatimia.Sasa mchangiaji imekuuma kuona kwamba aliyoyasema Tundu Lissu zamani leo yanatimia. Kwa ushabiki wako ukadhani Tundu Lissu aliongea leo,kumbe ni muda mrefu. Tukubali tu kuwa katika Taifa,watu kama Tundu Lissu,JPM tunatakiwa tuwe nao kama 100 hivi,tutafika mbali sana.Majizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo
hawajipendekez. ni kwel na kila mtu anajua haya yote yanayotendeka yalipiganiwa sana na wapinzani haswa chadema. mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni. na hii ndo kaz ya upinzani. ukichukia ni kwa vile umejaa chuki binafsi tu. kalagha bahoMajizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo
Tunahitaji watu kama Rais John P.M na Tundulisu zaidi ya 100 mkuu. Tundu Lisu na Rais Magufuli wana nia njema na wanaona mambo mengi ambayo kama umejifungia kwenye ukada kamwe huwezi kuyaona. Na ili mambo yazidi kwenda vizuri inabidi waendelee kubaki vyama tofauti ili mmoja aendelee kuwa kama third eye kwa mwengine.Bila kujali mambo ya uvyama,kama Wabunge wa CCM wataanza kuwa makini,mambo mengi ya hovyo yasingetokea. Kumbuka hiyo video Clip ni ya muda mrefu,lakini leo yanatimia.Sasa mchangiaji imekuuma kuona kwamba aliyoyasema Tundu Lissu zamani leo yanatimia. Kwa ushabiki wako ukadhani Tundu Lissu aliongea leo,kumbe ni muda mrefu. Tukubali tu kuwa katika Taifa,watu kama Tundu Lissu,JPM tunatakiwa tuwe nao kama 100 hivi,tutafika mbali sana.
Hapo ndipo watz tunapoonekana hatuna kitu kichwani kwa hoja mfu kama hizi ,hao chadema wanaingiaje hapa ?na ukizungumzia majizi nadhani utafahamu nani wahalifu katika jambo hili,ni wakati wa kuweka mshikamano kama watz na kumuunga mkono Rais wetu katika kukabiliana na tishio hili kuu la uchumi wetu ,tupunguze comment za kipumbavu za kunyooshea vidole wasio husika ,tubadilike katika matumizi ya akili zetu!Majizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo
Tutaweza kutoka hapa tulipo na kufaidika na rasilimali zetu tu endapo bunge litasimama kama mhimili na kuachana na siasa za vyama vyao. Bila bunge imara hakuna kipya zaidi ya mipango mingi isiyo na utekelezaji
Wabunge wapi Kibaji na Pro Maji Marefu?Ni kweli kuwa maamuzi mengi ya serikali ni ya zimamoto! Katika mambo ya kitaalamu wabunge wangekuwa wanapewa muda wa kutosha kufanya consultation kwa wataalamu wa masuala husika!
Kwa wabunge wenyewe hawa wa ccm wachumia tumbo, wao kila kitu ndioooo,Ni kweli kuwa maamuzi mengi ya serikali ni ya zimamoto! Katika mambo ya kitaalamu wabunge wangekuwa wanapewa muda wa kutosha kufanya consultation kwa wataalamu wa masuala husika!
Majizi chadema kwa kujipendekeza hawajambo