Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Kwa ushahidi huo hapo juu kwenye main post, huyu naye anastahili kuhojiwa. Anaonekana ni mmoja kati ya watu walioufahamu vizuri mchezo uliokuwa unachezwa. Na hapa akamtaja mtu kwa madai amesikia sauti yake kwenye video. Hii inapatikana hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...apa-lwakatare-alikuwa-anamaanisha-nini-4.html
Hii ni posti namba 77:
Na hii ni posti namba 87:
Sasa naona watu wanaanza kufunguka. Kweli mwisho wa ubaya ni Aibu. Kumbe Lodovick alikuwa ni kibaraka aliyenunuliwa na CCM? Nijuzeni mie!!!
Soma vizuri kasema ile video ya U tube ni tofauti sana na video waliyonayo polisi, it means iliyowekwa u tube imechezewa na kulishwa maneno kwa kutumia sura ya Lwakatare..Mbona wanasheria hawasemi ile video ni fake?
Kama ule mkanda nk genuine basi huo ni ugaidi.
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!
Clouds wanalazimisha kujitumikisha...siyo tatizo. Lakini wajitahidi kuwa smart!
Wakipatikana safari hii wasiachiwe, ili siku nyingine washike adabu kutorukia mambo kichwa kichwa.
Kumbe ya Lwakatare ni ya kweli!. Daa kweli cdm ni disaster!
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!